Barakatil Eid wana JF

Nawatakia sikukuu njema wana jf wote, tujiepushe na vitendo viovu tusherehekee sikukuu kwa amani na familia zetu.EID MUBARAKA

Minal Faizin inshallah mwenyezi mungu atutakabalie swaum zetu na towba zetu,atupe afya na maelewano na ndugu jamaa na marafiki,atujalie kila lenye kheir na atuepushe na kila shari yaa raab.
 
DSC05854.JPG


GO9G3237.JPG
 
Afadhali angalau apate muda wa kufanya shughuli za maendeleo manake kila siku alikuwa anafuturisha tu...
 
Eid Mubaraka
Tualikane basi dahhh..:)
Nakukaribisha Iddi Pili AD Leo nilikuwa kwa Job tired kwa Sana! uugh! Naandaa mwenyewe Bilyan Bismat rice ya Mbuzi:hungry: Ice Cream ya Backresa kopo kubwa mbili limejaa sijajua utakuwa umependa flava ipi AD.
:thinking:
Nadhani utakuwa unapenda na Coca Cola nitakuwekea maanayake me huwa napenda zaidi Apple Juice.

Cartoon ya Simpson ipo pia haha Karibu Sana Afrodenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom