Barackalypse Obamageddon

Put it in a layman's language - unamaanisha hutaki matajiri wakatwe kodi zaidi ili maskini nao wafaidi?

PS. Rudi kwenu kabla hamjaanza kufukuzwa as a pre-emptive measure ya kuzuia ya UK yasitokee US!

I think taxation should be fair to all who pay taxes. It makes no sense to tax the rich more when it is the rich who create jobs. Have you ever been employed by a poor person before? Throughout my life I have been employed by rich people and never by a poor person.

More taxation of the rich stunts economic growth. And you can't have economic growth if there are no jobs. Job creation, lower taxes, and economic growth go hand in hand. The less you tax the rich, the more they are going to create jobs. The more jobs are created, the more opportunities are created.

So instead of spreading the wealth, I am all for spreading opportunities.

Halafu wewe siku hizi umefulia nini? Juzi juzi tu hapa nikuwa Samaki Samaki nikakutana na mshikaji wako mmoja akaniambia hujaonekana kiwanja hicho litambo.
 
I am all against deficit spending. All about cutting taxes and not raising taxes. I am against (or I was against) raising the debt ceiling. I also don't mind reducing the number of government entitlements i.e. I am against spending taxpayers' money with reckless abandon.So there you have it my friend.
well that makes u a liberal nevertheless in politics at times u have to make calls based on the circumstances u have inherited that is what Obama is doing.siku njema.
 
I think taxation should be fair to all who pay taxes. It makes no sense to tax the rich more when it is the rich who create jobs. Have you ever been employed by a poor person before? Throughout my life I have been employed by rich people and never by a poor person.

More taxation of the rich stunts economic growth. And you can't have economic growth if there are no jobs. Job creation, lower taxes, and economic growth go hand in hand. The less you tax the rich, the more they are going to create jobs. The more jobs are created, the more opportunities are created.

So instead of spreading the wealth, I am all for spreading opportunities.

Halafu wewe siku hizi umefulia nini? Juzi juzi tu hapa nikuwa Samaki Samaki nikakutana na mshikaji wako mmoja akaniambia hujaonekana kiwanja hicho litambo.

Hao matajiri wana njia nyingi za kukwepa kodi. Wanaobeba mzigo mkubwa wa kodi ni watu wa kati wenye biashara ndogo ndogo. Wewe kila siku unanunua vituo kwenye maduka yao - Waarabu, Wabrazili, Wamexico, Wahindi, Wachina na Waafrika - Marekani. Mbona bado wanamkubali Obama?

Huko maeneo ya Samaki Samaki nimehama ndio maana sionekani!
 
I am far from a liberal.
well i know you think you aint but then politics is also a science lets look at ur political stance and label you.

1. personal responsibility (conservative, liberal)
2.fiscal conservatism (conservative, liberal)
3.No tax increases (conservative liberal)
4.Open minded (liberal)
5.Free will (liberal)

You see therefore your ideology is more inclined to the central than the right that makes you a liberal and yes i knew you weren't aware of that.
 
Kwanza Obama's approval rating zimedondoka vibaya sana. On a head to head matchup na Mitt Romney, Obama yuko nyuma na ndiyo maana wapambe wa Obama wameshaanza kwenda negative. Kwa hiyo madai ya kwamba anakubalika na middle class siyakubali. Ni kweli anakubalika kwa weusi na hiyo sina haja ya kutolea maelezo. They will always be loyal to him.

And fyi, the top wealthiest one percent of the population pays more taxes than than bottom 50 percent. Kwa hiyo kusema kwamba watu wenye biashara ndogo ndogo wanabeba mzigo mkubwa wa kodi si sahihi.

Mambo ya class warfare hayana nafasi kabisa.
 
You don't know what you are talking about.
 
NN last time I remember you sided with Hillary, so who's your candidate now?
 
NN last time I remember you sided with Hillary, so who's your candidate now

If my girl runs then it's a no brainer. But if she doesn't then it's anybody but Obama. There is some talk she may mount a challenge for the nomination. But I doubt she will. We'll just have to wait andl see.
 
Kwanza Obama's approval rating zimedondoka vibaya sana. On a head to head matchup na Mitt Romney, Obama yuko nyuma na ndiyo maana wapambe wa Obama wameshaanza kwenda negative. Kwa hiyo madai ya kwamba anakubalika na middle class siyakubali. Ni kweli anakubalika kwa weusi na hiyo sina haja ya kutolea maelezo. They will always be loyal to him.

And fyi, the top wealthiest one percent of the population pays more taxes than than bottom 50 percent. Kwa hiyo kusema kwamba watu wenye biashara ndogo ndogo wanabeba mzigo mkubwa wa kodi si sahihi.

Mambo ya class warfare hayana nafasi kabisa.
Naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye bold.Pia niwekee na citation ukiweza ili nijiridhishe.Ningeshukuru.Tuanzie hapo kwasababu the battle has just began.
 
I'm glad you are back coz I've been waiting to kick your ass so bad. And where is your boy Susuviri?

Oh by the way, did you hear what happened in the Wisconsin recall election? That's a bad omen for your boy Obama.

If you wanna learn more about the top one percent or the top ten percent you can go to The Top 10 Percent of Income Earners Paid 71 Percent of Federal Income Tax
 
Nyani Ngabu said:
I think taxation should be fair to all who pay taxes. It makes no sense to tax the rich more when it is the rich who create jobs. Have you ever been employed by a poor person before? Throughout my life I have been employed by rich people and never by a poor person.
Unaweza kuwa employed na mtu ambaye siyo tajiri indirectly kwenye corporate world.(share holders).Kwahiyo siyo kweli kuwa ni rich people only employes people.Definition yako ya "richness" ni ipi?Mfano ulioutoa hauendani na ukweli halisi.Na pia kusema taxation should be fair to all who pay taxes,tayari unajicontradict na msimamo wako wa kutokuwa tax more rich people.Kwasababu naamini that is a fair practice.It all comes with the territory,una pesa nyingi,then majukumu yako pia ni mengi na makubwa kuliko ya yule aliye masikini.Hiyo ndiyo fairness.It is the rule of common justice.Hizo pesa wanazozipata hazijaanguka kutoka mbinguni.Ni wealth ambayo wamei generate kwa kusaidiwa na hao poor people.Kuajiriwa na tajiri pia unamsaidia kujenerate wealth hata kama wewe ni poor.
Pia ukiwa tax middle class people zaidi,then hawataweza kupurchase anything ambayo inakuwa manufactured ama serviced by the rich.Ni common sense tu hapo

More taxation of the rich stunts economic growth. And you can't have economic growth if there are no jobs. Job creation, lower taxes, and economic growth go hand in hand. The less you tax the rich, the more they are going to create jobs. The more jobs are created, the more opportunities are created.
Taxes for the rich zimekuwa zikipunguzwa,na Bush ndiye aliyezidi kuzipunguza kufikia level ya kihistoria na kusema kuwa zitastimulate uchumi,matokeo ake unayajua,uchumi ukaporomoka,akazidi kuwapunguzia matajiri taxes,ukazidi kuporomoka,so hoja yako hapo haimake sense kwasababu kuna other factors.Obama ana argue kwamba kuzidi kupunguzwa kwa taxes ndiyo yamelifikisha taifa la Marekani hapo lilipo.Its a maniac strategy.You cat just do the same thing over and over again expecting different results.Wameshushiwa tax na Bush na matokeo yake unajuwa ni yapi?Kwa taarifa yako bado wamezidi ku outsource kazi zote amabazo zimepelekea watu kuwa unemployed.(kwasababu they're just too greedy).Sasa unataka nani achangie mfuko huo ie wa unemployement nk zaidi ya hao walio outsorce hizo kazi to begin with?Umma wa wananchi watakao retire,social security,medical nk zote ni issues zinazotakiwa kuwa financed given all this mess.Pia kwa taarifa yako,Obama pia ana policy kwamba wale watakaozikeep biashara ndani ya marekani ndio watakapunguziwa kodi.Wale wanaingiza billions of dolars just bonus,ma exec wa kampuni za mafuta kwa mfano,eti na hao wapunguziwe kodi.Acheni utani.

So instead of spreading the wealth, I am all for spreading opportunities.
There is nothing as such as spreding wealth.Hizo ni kauli mbovu tu za ma extremist wa republican zenye kulenga kuwatia hifu wazungu kuwa wanataka waporwe utajiri wao uganwanywe.Kwa mtu mwelewa,huwezi kusema kuwa utajiri unakuwa spreaded,how?Kama unataka kusema kuwa hiyo ni kuspread wealth,then the opposite ni ku accumulate wealth to the few?Tafakari ndugu Nyani.
 
I'm glad you are back coz I've been waiting to kick your ass so bad. And where is your boy Susuviri?

Oh by the way, did you hear what happened in the Wisconsin recall election? That's a bad omen for your boy Obama.

If you wanna learn more about the top one percent or the top ten percent you can go to The Top 10 Percent of Income Earners Paid 71 Percent of Federal Income Tax
Nashukuru,haya hangaika na hiyo iliyopita,maana ninajibu haya yenu,pamoja na hao walioweka hayo ya top 10 percent.Hivi unajua Fox News walikuwa wanawashinikiza maofisa wa S&P waishushie US credit rating?The republican is not republican no more,it is in a process of being destroyed by the tea party poopers fyi.Wao lengo lao ni kumsimamisha Obama hata kama Taifa linakuwa matatani hawajali.Ni noma hawa watu na wameiteka sauti ya Republicans bila kujua wameingiza watu wenye siasa kali kama za kina Bin Laden tu sema kwa utofauti kwasababu wao ni wakristo.Ila misimamo yao ni mikali sana,ndiyo hao hao wale "birthers" nk.Ila nakuhakikishia Obama anarudi WH.I can bet you.
 
Back
Top Bottom