SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
Nakueleza ukweli kuhusu american conservatives, they don't give a shit about minorities esp. blacks. sasa inahuzunisha hapa tuna another Herman Cain, ambae soon ataendauza pizza. Acha kujiita conservative, ni aibu kwa mtu mweusi kujiita conservative wakati wenyewe hawakutakiHuna hoja zaidi ya mihemko inayosukumwa na hisia. Nadhani sasa nikuache tu. Akhsante kwa kuchangia.