Barack Obama accused of 'renting out' ambassador roles

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Barack Obama accused of 'renting out' ambassador roles

Diplomats' anger over President Obama's appointment of dozens of wealthy campaign backers to top overseas jobs
Barack Obama is coming under fire for handing dozens of coveted ambassadorships to donors who raised millions for his presidential campaign.
The diplomatic postings range from tiny island nations in the Caribbean to major political partners, such as France and Britain, and have raised the hackles of many American diplomats.

The practice of appointing campaign donors instead of state department professionals has a long tradition in the US. However, many had hoped that Obama would reduce such displays of patronage.

That has not happened. Since taking office, Obama has made almost 80 ambassadorial nominations, of which 56% went to political appointees.
"It is time to end the spoils system and to stop renting out these ambassadorships for fabulous sums of money," said Susan Johnson, president of the American Foreign Service Association, which monitors the nominations. Johnson said Obama was on track to equal the number of such appointments made by President Bush. "It is business as usual," she said.

Some Obama backers have been posted to glamorous European countries. Britain's new US ambassador is Louis Susman, who raised more than $500,000 for Obama. The new ambassador to France is Charles Rivkin, a former TV executive who helped raise $800,000, while Germany is getting Philip Murphy, an ex-finance chairman of the Democratic National Committee who has donated $1.9m to the party since 1989.

Other political appointees have been aimed at less important countries, but ones where a few years in the sun might seem like an attractive proposition: Nicole Avant, who raised at least $800,000 for Obama, is the new ambassador appointed to the Bahamas.

Anti-corruption groups say the practice sends a message that government posts can be bought by backing the right candidate in an election campaign. "It is an auction for donors. It is a way the administration has of rewarding them," said Josh Israel, a project co-ordinator for the Center for Public Integrity, a Washington-based watchdog group.

The revelations fly in the face of Obama's election campaign promises to change the face of Washington and his pledge to rid the capital of its reputation for insider dealing and lavish spending. That is no easy task and Obama's efforts to clean up the city have already been damaged by coverage of the extraordinary access that many top bankers enjoy to senior members of his administration.

Obama's reputation for meaningful change was also further tarnished by the coverage of last week's first state dinner for the Indian prime minister, Manmohan Singh. Many commentators frowned on the lavishness of the exercise at a time when millions of Americans are out of work.

White House officials say there is nothing wrong with making political appointments and insist they are not influenced by the size of donations. They say that the practice allows a president to make nominations that might capitalise on a person's expertise or special link with a country. One such nomination, which counts as a "political" posting, is that of Karl Eikenberry, the new ambassador to Afghanistan. Eikenberry was a senior military commander in Afghanistan.

Critics admit that changing the system will not be easy. Existing legislation is supposed to ensure that all US ambassadors have expert knowledge of the country to which they are assigned and familiarity with its language and culture. But both the White House and Congress, which vets the appointments, seem happy to let the rules slide.

"Nominees are probably not getting posts solely on the basis of their donations," said Israel, "but they can often give a bad impression. It certainly poses the question of how committed an administration is to a professional foreign policy."
 
He's just taking baby steps, wasubiri tu 2nd term yake, kama atarun na kushinda, jamaa atakuwa mkali huyo. Nadhani anafanana na bush kwa kiwango kikubwa kwa sababu alitaka transition iwe smooth, radical change from the get-go inge-destabilize nchi.
 
Hii tradition ya kuwapa ubalozi ma contributors imekuwepo kwa muda mrefu. Reagan over did it, Clinton did it and Bush did it.
 
Wanaomlaumu Obama ni wazungu wale wabaguzi wa rangi. Na hao mabalozi wazungu anaowateua ni wabaguzi vilevile. Watu weupe wabaguzi sana aisee mpaka wamemsababishia Tiger Woods (mweusi ingawa yeye anajiita ni Cablinesian) kupata ajali. Isingekuwa wazungu (akiwemo mkewe) wala asingepata hiyo ajali.
 
Hiyo tabisa si ngeni kwa wanasiasa hasa ukizungumzia kwetu bongo ndo mama weee. Yaani mtu asipopewa madaraka anapata msamaha wa mambo fulani katika biashara zake si mnawachek kina Jeetu.Pili tujiulize kidogo kitu kinacholingana na hicho, hivi kwa nini Bongo wajeshi wengi wastaafu wapo katika madaraka hasa yale kutunukiwa e.g Unyekiti wa Tume?Bodi na Ukuu wa mkoa na mweznie wilaya? Hope sijagusa "mambo nyeti yanayohusu usalama wa Taifa"
 
Wanaomlaumu Obama ni wazungu wale wabaguzi wa rangi. Na hao mabalozi wazungu anaowateua ni wabaguzi vilevile. Watu weupe wabaguzi sana aisee mpaka wamemsababishia Tiger Woods (mweusi ingawa yeye anajiita ni Cablinesian) kupata ajali. Isingekuwa wazungu (akiwemo mkewe) wala asingepata hiyo ajali.

Mkuu ni vipi watu weupe wamemsababishia Tiger ajali? Taarifa tulizonazo jamaa kapata ajali saa 8 usiku nje ya nyumba yake hatujui kama alikuwa ndio anatimka au anarudi toka 'mtaa wa pili'.
 
Mkuu ni vipi watu weupe wamemsababishia Tiger ajali? Taarifa tulizonazo jamaa kapata ajali saa 8 usiku nje ya nyumba yake hatujui kama alikuwa ndio anatimka au anarudi toka 'mtaa wa pili'.

Hata mimi nilikuwa najiuliza kwa hilo kama vp jamaa atupe madetail
 
Thats right and quite fair. Nani anaweza kumpa mtu ambaye hamfahamu wala hakumsaidia nafasi nyeti kama hiyo ???..Hata mungu alimtuma "mwanae" kuja kukomboa ulimwerngu na si Lucifer, na hata Mwana wa Daudi (Yesu Kristu) alimwachia kanisa la kwanza Petro ambaye alionyesha ukaribu kwa yesu tokea mwanzo.

For the Quran followers, you may notice the stlye of sucession of this klind also from the history, as following the death of Muhammad in AD 632, disagreement broke out over who should succeed him as leader of the Muslim community. Umar ibn al-Khattab, a prominent companion of Muhammad, nominated Abu Bakr ( as today, Sunnis assert that even though Muhammad never appointed a successor, Abu Bakr was elected first caliph by the Muslim community. While on the other side, Shi'as believe that Muhammad explicitly named his successor Ali at Ghadir Khumm and Muslim leadership belonged to him who had been determined by divine order.............................(kila mtu ana hitaji mtu wake bana!)
 
Mkuu ni vipi watu weupe wamemsababishia Tiger ajali? Taarifa tulizonazo jamaa kapata ajali saa 8 usiku nje ya nyumba yake hatujui kama alikuwa ndio anatimka au anarudi toka 'mtaa wa pili'.

Mwulize Bubu atakuambia watu weupe hawawapendi watu weusi ingawa Tiger yeye hajitambulishi kama mweusi!! Kwa hiyo, kwa mujibu wa Bubu, kwa vile watu weupe hawawapendi watu weusi basi kwa namna moja au nyingine walisababisha ajali ya Tiger!! Lol
 
Mwulize Bubu atakuambia watu weupe hawawapendi watu weusi ingawa Tiger yeye hajitambulishi kama mweusi!! Kwa hiyo, kwa mujibu wa Bubu, kwa vile watu weupe hawawapendi watu weusi basi kwa namna moja au nyingine walisababisha ajali ya Tiger!! Lol


Duu hii kali, hata kama jamaa alikuwa bange mtu, katandika mtungi au hasira za kugombana na mkewe bado Bubu atasema ni mkono wa watu weupe!!??
 
Kuna watu wapo kwa ajili challenges au kulaumu. hawana point, ni kitu cha kawaida kufadhili waliokuhifadhi. Isiwe tu kama huyu peresida wetu kihiyo.
 
Hii tradition ya kuwapa ubalozi ma contributors imekuwepo kwa muda mrefu. Reagan over did it, Clinton did it and Bush did it.
Sasa kama ni jadi, Obama naye kazaliwa dunia ileile na kaona jadi hiyo, kwa nini analaumiwa kuvaa laizoni ilhali wakubwa zake amewaona wakivaa pasipo matatizo?

Ni matatizo ya indefinite expectations kwa mtu, kwa kusahau hali halisi. Kwa kuwa mtu mweusi (kwanza nani kasema Obama ni mweusi?) wa kwanza walitazamia kila kitu kibadilike rangi? Wanamtafutia maganda ya ndizi ateleze na kuanguka tu, hamna lolote.

Leka
 
Sasa kama ni jadi, Obama naye kazaliwa dunia ileile na kaona jadi hiyo, kwa nini analaumiwa kuvaa laizoni ilhali wakubwa zake amewaona wakivaa pasipo matatizo?

Ni matatizo ya indefinite expectations kwa mtu, kwa kusahau hali halisi. Kwa kuwa mtu mweusi (kwanza nani kasema Obama ni mweusi?) wa kwanza walitazamia kila kitu kibadilike rangi? Wanamtafutia maganda ya ndizi ateleze na kuanguka tu, hamna lolote.

Leka

LEKA!
Tafadhali unatakiwa kuwa focused. The argument here is not about colour of the skin ila sisi tulio wengi tulitarajia a change from the failed Bush and Old guard policies, Na huyu Mjaluo alituahaidi tutarajie mabadiliko makubwa kwa hiyo to dish out those diplomatic posts to his bandwagon are the signs of failing to meet our expectations. That tradition is wrong left or right kutoa vijizawadi kwa wapambe au wanamtandao is bull shit hana tofauti na Jakaya Kikwete aliyewapa his ex concubines a lot of them ministerial posts and a lot of directorship ambao we can see wanavyo vurunda ukianzia na Zakhia Mengi and so on and so on!!!
I have come to realize that the Military Industrial complex monster, the architect of all wars and conflicts is still alive and actually flying. You can't spend a night in the white House and use the Oval office kama usipowasikiliza pronto!
Obama like many past US presidents have been doing the same mistake of not learning history kuweka majeshi hata wafikie asikari milioni moja katika milima ya TORA BORA haimsaidii kupambana na Taleban au Al -Quaeda! Hawa mujahedeen wanayo agenda whereas hao mamluki wa US army and the EU armies ni watu wa kuganga njaa and have no purpose of going to war other than kupata mishahara/ allowance na package nzuri after service ambazo hawapewi anyway;I wouldn't like to go into details here!
They should learn history wawaulize akina Gorbachov/Putin how they got a bloody hiding after loosing over 15,000 innocent Russian Soldiers and thousands of Mujahedeen fighters na wakakimbia and today hawajasema kwa nini. Like Vietnam like Irak and everywhere ni biashara ya silaha mwanangu take it from me au itakula kwako!!
 
Back
Top Bottom