Nimebahatika kuona documentary ya kuhusu barabara za mawe Mwanza. Nimepata faraja kubwa sana kujua kuwa sio kila kitu Tanzania kinayumba, ila kuna wataalamu wanajitahidi kufanya mambo ya maana.
Big up wahusika wote!
Msiachie hapo, mkuu wa mkoa kama mwanasiasa mkuu wa mkoa tunategemea uhamasishe wenzako wa mikoa mingine yenye raslimali ya mawe kama arusha ambayo haina barabara ianze, ichukue vijana wakajifunze na kuhamishia ujuzi tanzania nzima, nadhani kuwa baada ya muda hawa vijana mafundi wa mwanza watakuwa walimu wazuri na uchumi wao utaimarika, kwanini wasifanye part time VETA kufundisha?