barabara ya singisi kuelekea nyumbani kwa marehemu Mb sumari inatengenezwa usiku na mchana

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
magreda yamejaa wanairekebisha barabara si unajua kesho wakubwa wengi watakuepo kuja kumzika..ndo ivyo hii ndo tz mpaka kuepo na tukio ndo uone maendeleo
 
Magamba ndivyo yalivyo.......... Unafiki mtupu...........:alien:
 
yeah..tanzania ndo inavyoongozwa hivyo.mbunge na alishakua naibu wa ziri barabara ya mtaani kwake ni kichekesho? Inauma sana.
 
Hii tabia ni maarufu sana hapa nchini, kwani wanaopita kwenye hiyo barabara kila siku sio watu? hao wanaokuja kupita kesho ndio watu? ingebidi waiache ili mkulu aone uhalisia! kuficha ficha ukweli wa mambo na mazingira halisi ndio kunatugharimu!
"Ukiona barabara inakarabatiwa jua kikwete anakuja"......******!
 
Sasa hivi ile barabara ni mkeka mzee mpaka pale kanisani akheri... Ajabu ni kuwa kuendelea kule juu haiparuzwi
 
Anyhow it does not mean anything, hata Kikwete anajua kuwa hiyo haimaanishi chochote ila unafiki. Tena anachukia sana kwa kuwa hawa jamaa hawafanyi kazi zao mpaka yeye aje. Schshiit!
 
Ni tatizo karibu kila kona si huko peke yake, ila tutumie mambo hayo kujifunza pia.
R.I.P Mzee Sumari.
 
Ndiyo karibu mgen il wenyej 2pone na hil vumbi japo kwa muda tu! Duh, sjui nan kigogo afuate il waweke lami kabsa!
 
Ndiyo karibu mgen il wenyej 2pone na hil vumbi japo kwa muda tu! Duh, sjui nan kigogo afuate wa huku Akeri il waweke lami kabsa!
 
Akifa fisadi papa yoyote wanaweza wakaweka lami..ina maana maendeleo mpaka matatizo yatokee?
 
Wazo la msingi sana Baba D, tena angefuata haraka kabla magreda hayajaondoka! Kuna mmoja namuwazia ila naogopa kuwa sheikh yahya,lol!
Ndiyo karibu mgen il wenyej 2pone na hil vumbi japo kwa muda tu! Duh, sjui nan kigogo afuate wa huku Akeri il waweke lami kabsa!
 
Back
Top Bottom