Barabara ya Msimbazi yawa nyeupe kama ulaya

Si leo
Jamaa alikanyaga bidhaa za hao wauaji, yakajitokeza majibizano ndio jamaa akatoka ndani ya gari mjinga mmoja akamtia kisu akachomoa na kumchoma tena hadi akafa, gari wakaliharibu kwa mawe....
Polisi wamekasirika hatakiwi mbwa pale......
Inabidi watu waache nunua bidhaa za hao watu
Tabia zao zilinifanya nisusie bidhaa zao
 
yule jamaa aliyekuwa anawatumia kama mtaji wa siasa yuko wapi awatetee hapo ndio anaonyesha usanii wake wa kupanda daladala na kula kwa mama nitilie
 
Nilipita mitaa hiyo, nikasikia watu wakisema kama walimpiga (kuua) dreva wa gari fulani usiku wa jana. Aligonga boda boda ... Sasa wamachinga kwa kushirikiana na boda boda wakampiga (kuua). Sasa, kwa tukio hilo wakajipa tiketi ya kuondoka hapo. Maana serikali ilikuwa inaumiza kichwa namna ya kuwaondoa. Wamerahisisha kuondolewa kwao. Yaani peupeee!
yah true mkuu
 
Duh aisee binadamu wanaroho mbaya kweli waweza mtoa MTU huai wake et kisa kakanyanga vitu shgapi hivo vitu kweli wataukumiwa vibaya sana huko walipo ninarahani kwa nguvu zote huu ushenzi sasa watajibeba waanze kusugua benchi pumba kabisa
 
Nilipita mitaa hiyo, nikasikia watu wakisema kama walimpiga (kuua) dreva wa gari fulani usiku wa jana. Aligonga boda boda ... Sasa wamachinga kwa kushirikiana na boda boda wakampiga (kuua). Sasa, kwa tukio hilo wakajipa tiketi ya kuondoka hapo. Maana serikali ilikuwa inaumiza kichwa namna ya kuwaondoa. Wamerahisisha kuondolewa kwao. Yaani peupeee!
Duu kwa gharama ya maisha ya mtu!
 
Wakati Wa kutambua na kuacha kujichukulia sheria mikonon umefika,yan mnaua dereva mtadhan mnaua mwizi najua ni stress za wagambo mliziamishia kwa dereva ,sasa muisome namba
 
Shenzi zao yani hizo bidhaa wameona zina thamani kuliko uhai wa mtu. Ndiyo maana huwa siwapendi hawa jamaa wanaendeshwa na hisia zaidi kuliko akili na hawa ndo waliokuwa wana tuibia tukipita huko kariakoo.
 
Nafikiri huu ni wakati muafaka kwa mamlaka husika kuwasafisha hawa shenzi kutoka Kariakoo na mjini. Wapelekwe kinguvu kwenye maeneo husika waliyotengewa kufanyia shughuli zao. Kama hawataki warudi vijijini kulima. Hawa Machinga ni ticking time bomb.
 
Borat69, post: 15298079, member: 88859"]Nafikiri huu ni wakati muafaka kwa mamlaka husika kuwasafisha hawa shenzi kutoka Kariakoo na mjini. Wapelekwe kinguvu kwenye maeneo husika waliyotengewa kufanyia shughuli zao. Kama hawataki warudi vijijini kulima. Hawa Machinga ni ticking time bomb.
Yaan kko itakuwa kama ulaya
 
Back
Top Bottom