Barabara ya Morogoro Yadata: Uzembe wa TANROADS?!

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,814
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na Temboni. Sijui kama wana strategic Plan hawa, badala ya kujenga usiku wa manane wao wajenga sasa. Hivyo mimi nipo kwenye gari naperuzi mtandao. Kazi hii wameanza asubuhi hadi sasa. Sina uhakika na hili kwani habari tunapewa na waendesha piki piki ambao wamepata BINGO ya hali ya juu leo. Ubungo - Kimara wanachaji 5,000/= kama huna wasema tambaa.
 
Hicho ni kionjo ili usome bado nipo baa hapa RAM baa / bar NJOO nakunywa BINGWA tu
 
Nikiwakuta hao tanroad watajuta kunifahamu. Leta bingwa nyingine
 
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na Temboni. Sijui kama wana strategic Plan hawa, badala ya kujenga usiku wa manane wao wajenga sasa. Hivyo mimi nipo kwenye gari naperuzi mtandao. Kazi hii wameanza asubuhi hadi sasa. Sina uhakika na hili kwani habari tunapewa na waendesha piki piki ambao wamepata BINGO ya hali ya juu leo. Ubungo - Kimara wanachaji 5,000/= kama huna wasema tambaa.
Mkuu pole sana, sema bongo hakuna week end wala week days ninge-suggest iwe week end ila USIKU WA MANANE huwatakii maisha marefu wafanyakazi wa TANROADS, katika kipindi ambocho ni risk kutengeneza barabara ni wakati ambapo hakuna magari mengi maana kuna wehu huwa wananyoosha mguu mpaka wanasimama huyu huwezi kumdhibiti kwa alama ya mita 500 kabla ya tukio ni lazima atawavaa tu itakuwa kama hivi hapa chini

image0011-1.gif
 
Hicho ni kionjo ili usome bado nipo baa hapa RAM baa / bar NJOO nakunywa BINGWA tu[/QUOTE]

hahahahaha!mkuu unanikumbusha mbali kweli na hizo bia za kijeshijeshi.Nilidhani zilishakosa wateja kiwanda kikafungwa kumbe bado zipozipo tu!!!!
saafi sana mkuu endeleza makamuzi halafu ukitoka hapo wewe ni kukanyaga wese tu,mwendo mdundo!
 
Idimi alikuwa mwathirika mmojawapo wa hiyo foleni jana, akitokea maeneo ya Kibaha.
Nilikaa katika foleni hiyo kutoka Kibaha maili moja hadi kimara mwisho kutoka saa 12.10 jioni hadi saa 3.20 usiku.
Jiji linaboa sana, bora kwenda mikoani.
 
hayo matuta wanayoweka bado ni kero tu kwa wasafiri, trafik kero sijui nini suruhisho la usafiri hapa dar, sasa itawafanya watu katumie masaa zaidi ya matatu kutoka ubungo hadi mbezi, au hawajifunzi kutoka manzese yale matuta yanasababisha foleni kunbwa sana mida ya jioni
 
Hivi huo mradi wa magari ya kwenda kwa kasi unaanza lini? Taifa letu linatia aibu kila sekta, hasa 'vichwani'
 
Mkuu, hii ndiyo bongo, kila mtu anataka umuhimu wa kazi yake uonekane, kuna jamaa pia walikuwa wanamwagilia maua pale maeneo ali mwinyi road asubihi na kuleta usumbufu.... wenzetu kenya hizo kazi wanafanya usiku wa manane

HAO TANROADS BORA WANGEWAPA KAZI TANROSE!!!
 
Idimi alikuwa mwathirika mmojawapo wa hiyo foleni jana, akitokea maeneo ya Kibaha.
Nilikaa katika foleni hiyo kutoka Kibaha maili moja hadi kimara mwisho kutoka saa 12.10 jioni hadi saa 3.20 usiku.
Jiji linaboa sana, bora kwenda mikoani.

khaaa....poleni sana.
 
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na Temboni. Sijui kama wana strategic Plan hawa, badala ya kujenga usiku wa manane wao wajenga sasa. Hivyo mimi nipo kwenye gari naperuzi mtandao. Kazi hii wameanza asubuhi hadi sasa. Sina uhakika na hili kwani habari tunapewa na waendesha piki piki ambao wamepata BINGO ya hali ya juu leo. Ubungo - Kimara wanachaji 5,000/= kama huna wasema tambaa.

Kwanza pole sana na usumbufu huo usio wa lazima, pili afadhali ni member JF you spent the time wich could have been wasted very well by going through the Forum. Soma signature hapo chini, Hayo ni matokeo kutotaka kufanya kazi ya kufikiri, tarehe 14 ni public holiday movement ya magari sio heavy kama siku za kazi kwa nini wasingesubiri hiyo siku.Last month kulikuwa na Long weekend huo pia ulikuwa muda muafaka wa kufanya hiyo kazi, kwa nini tunakurupuka kama zima moto kila siku ?????? Lini tutakuwa na sense of planning??????
 
Mkuu pole sana, sema bongo hakuna week end wala week days ninge-suggest iwe week end ila USIKU WA MANANE huwatakii maisha marefu wafanyakazi wa TANROADS, katika kipindi ambocho ni risk kutengeneza barabara ni wakati ambapo hakuna magari mengi maana kuna wehu huwa wananyoosha mguu mpaka wanasimama huyu huwezi kumdhibiti kwa alama ya mita 500 kabla ya tukio ni lazima atawavaa tu itakuwa kama hivi hapa chini

image0011-1.gif

Umenikumbusha ajali iliyotokea pale jeti karibu na uwanha wa ndege na wakati watu wanaokoa majeruhi jamaa alikuja moto mkubwa na kuwagonga wale waliokuwa wanaokoa majeruhi na waliojeruhiwa na watu 10 walikufa pale. So ni hatari kwa bongo kufanya kazi bara barani usiku wa manane, kuna hata madereva wa fuso wanaosinzia na maliro yao kutumbukia mtaroni, hilo likikukuta umeisha.
 
Sleeping Policeman (Road humps / Speed bumps)

sleeping-policeman-prod-400.jpg

Sleeping Policeman (Road humps / Speed bumps)

The most effective measures to lower vehicle speed is by using sleeping policeman or known as road hump. The road humps are designed to have different sizes and shape to suit the requirements and place of services. Some are narrow as to deliver a sharp jolt to vehicle suspension and to gives discomfort when crossing at high speed. The wide humps are mainly for further reducing the vehicle speed due to longer crossing time.
 
Back
Top Bottom