Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Du!ile ya Bolivia nimeikubali,halafu ngoma kwenye kupishana.
most dengerous
Kutazama picha tu moyo unaenda mbio! je ikiwa ndio live lazima upite sijui inakuwaje! Inataka kufanana kwa mbali na kitonga!
mkuu hiyo mi road of death ni noumakweli bolivia hiyo ni barabar ya kifo nawavulia kofia, hapa kwetu zilikuwepo mpaka sasa kutoka kiwira mbeya hadi mbalizi kupitia igogwe hospital bado ipo, makongorosi chunya bado ipo, morning site morogoro sehemu bado ipo kuelekea bondwa kileleni mlima wa morogogo. Sehemu moja upareni-ugweno ipo lakini wa tz hakuna anaefikiria jinsi ya kuiboresha mpaka sasa miaka 50 ya uhuru. Milima ya bolivia ni ya bonde la ufa katika milima ya andes. Mbinu mya wanatoboa milima. Kama ilivyo china, switzaland ,nk
Dah.....Nouma aisee.
Barabara zingine ukipita Mara ya kwanza lazima uwe umevaa pampas la sivyo MTU mzima unaumbuka!