Hawa jamaa ndo wameamua jambo la maana. Nadhani watu wa huko walikuwa walevi sana ndo maana ikajengwa hii ili madreva wapunguze ulevi. siyo siri mwenzenu nimeogopa nilipoziangalia kwa muda mrefu kwa mshangao I was taken up nikasahau kuwa niko chumbani tena mezani na nilipoangalia pembeni mwa meza kucheki chini tu nkatoa mwano nkidhani niko kwenye hii barabara!
Nimeipenda hii
Ni moja ya barabara ya hatari kuliko zote duniani
our roads are good, Kitonga hapa cha mtoto, mliopita sekenke vipi hapa
Utashanga huku hakuna ajali wala nini kuonesha Mungu alivyo mkubwa. Ila best kwa hii barabara me natembea kwa mguu namwacha dreva aende mwenyewe hata kama ni kesho ntafika tu na kama naendesha mwenyewe nikikaribia tu nawatafuta madreva wa kukodi kama ilivyokuwa sekenke. Ila jamani duniani humu kuna hatari!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
Look like Kitonga mts all the way to Iringa