Barabara ya kifo - World's most dangerous road - Bolivia

Nakubaliana na anayesema 'No room for error' hapo ktk picha!
Mie naongezea hapo kwa kusema 'No drink driving or sleep driving'
Hata barabara ya Mombo-Lushoto hapo haioni ndani kabisa.
Eneo lingine lenye barabara kama hizi liko nchini Norway, eneo la Gaustablikk! Wakati wa barafu na kwenyewe ni 'No room for error'

Tembea Uone
 
To hell with weed!!!
A road-trip on this baby and I get me a permanent high.
 
yungas-death-road-bolivia-4.jpg

yungas-death-road-bolivia-1.jpg

yungas-death-road-bolivia-2.jpg

450px-bolivia_yunga_road.jpg

yungas-road-bolivia-road-of-death.jpg

yungas-road-bolivia-10.jpg

Nimeipenda hii

4354bolivia2.jpg

road-of-death-bolivia-3.jpg

road-of-death-bolivia-5.jpg

road-of-death-bolivia-6.jpg

road-of-death-bolivia-4.jpg

worlds-most-dangerous-road-truck-hanger.JPG

worlds-most-dangerous-road-yungas.jpg

Ni moja ya barabara ya hatari kuliko zote duniani

our roads are good, Kitonga hapa cha mtoto, mliopita sekenke vipi hapa
 
Ni moja ya barabara ya hatari kuliko zote duniani

our roads are good, Kitonga hapa cha mtoto, mliopita sekenke vipi hapa

Dr John Pombe Magufuri aliitengeneza vizuri sana sekenke kwa kuchonga bara bara sehemu nyingine. Siku hizi usiambia na mtu kuwa hapa ni mlima wa sekenke, huwezi hata ukajua.
 
This piece of engineering needs improvement. Kupita hii barabara lazima niwe mimi ndio dereva maana siwezi kumuamini mtu mwingine kuniendesha.
 
This piece of engineering needs improvement. Kupita hii barabara lazima niwe mimi ndio dereva maana siwezi kumuamini mtu mwingine kuniendesha.

hata mimi mkuu, kama si kuendesha mwenyewe, basi nisipite kabisa hiyo njia..hatari tupu
 
Niliona hii katika documentary ya TV. Kusema kweli inatisha ukiona live. Halafu kulikuwa na waendesha baiskeli wanakoswa koswa na malori!
 
Labda niendeshe nikiwa ndotoni, Siendeshi wala kuendeshwa kwa hiari yangu.
 
ooo mama wee...haniendeshi mtu hapo,labda kwa miguu tuu ndio nitapita hiyo barabara!
 
Mimi niwe naendesha gari pikipiki au baiskeli, au hata kwa miguu, ni lazima nitakuwa na'tend kuvutika kuelekea bondeni tu!!.. Hakuna namna yoyote naweza kuwa balanced au kuwa 'at ease' na mahala kama huko!..
Mungu saidia watu wa huko!
 
Unaona kabisa kama brain inakuambia unaenda bondeni!
 
Hii barabara ingekuwa huku Bongo naona madereva wengi na magari yao wangezikwa huko bondeni. Afadhali iko huko Bolivia.
 
Back
Top Bottom