Barabara ya kifo (Bolivia)…

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109

death%20road%2004.jpg

death%20road%2003.jpg

death%20road%2002.jpg

death%20road%2007.jpg

death%20road%2005.jpg

death%20road%2006.jpg

death%20road%2008.jpg

death%20road%2010.jpg

death%20road%2009.jpg

(I believe those stone cairns in the picture above mark a spot
where vehicles have gone off the road.)​

 
Kwa kweli dunia ina maajabu yake!!!

Kwa wale waliowahi tembelea mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Same sehemu ya mlimani inaitwa Bombo kuna Hosp ya serikali.

Kwa kweli mazingira ya huku Bolivia yanafanana sana na Same kwenda Bombo hosp.
 
Hii inafanana na ile ya kwetu, kutoka Njombe kwenda Ludewa, ni hatari!...
Hapo swala la msingi sio kufurahisha nafisi kwa kuona hizo picha na kulinganisha na mazingira unayoyafahamu. Linalotakiwa hapo ni kutafakari njia zako za maisha na kisha kujipanga kupabmbana na vikwazo unavyokutanan navyo katka maisha na hatimaye kifo chema
 
ngoma ni wakati wa kupishana halafu ndio ule upande wa korongo
 
Hapo swala la msingi sio kufurahisha nafisi kwa kuona hizo picha na kulinganisha na mazingira unayoyafahamu. Linalotakiwa hapo ni kutafakari njia zako za maisha na kisha kujipanga kupabmbana na vikwazo unavyokutanan navyo katka maisha na hatimaye kifo chema

Kila mmoja ana namna yake ya kufikiri, kupanga na kutenda, usitake
kulazimisha kila mtu afikiri unavyofikiri, apange unavyopanga au atende unavyotenda...
 
Hapo natafuta kibaiskeli kangu nitembelee biashara ya kuweka roho yangu rehani haipo aise
 
Mimi hata kwa mguu sipiti!! Hii mijamaa ya south america haiko sawa kabisa! Si akina apocalypto hao! Sasa what for seriously!!
 
cha kufurahisha sio ajabu hakuna ajali za kipuuzi puuzi sasa peleka madereva wanaopewa leseni na vehicle wa jeshi linaloua waandishi habari kila siku mtazika.
 
Inatisha sana hii barabara, tatizo wakati wa kupishana ingekuwa oneway afadhali
 
Back
Top Bottom