Barabara ya Chalinze - Segera yafungwa

ni kweli hakuna sheria ya matuta highway. wananchi wanatakiwa waeleweshwe kuwa na taadhari wanapovuka au kupita pembeni mwa highways thats all
Lakini naammini ipo sheria ya speed ya gari linapopita katika makazi ya ya watu ingawa ni highway madeeva wakiifuata itapunguza sana ajali nadhani tumeona ongezeko kubwa la ajali kila barabara zetu zinapo zidi kuboreshwa madereva nao ndio wanazidi kukanyaga mafuta.
 
Highway ndio nini? Je ulimaanisha expressway au freeway? Kama ni hivyo Tanzania hatuna freeways.

Freeway = mwendo mkali
Highway= barabara yoyote inayofuata viwango.
Sasa hio highway inapita kwenye vijiji haiwezi kuwa freeway. Lazima mwendo upunguzwe, na matuta ni aina mojawapo ya vipunguza mwendo, vinginevyo weka mapolisi kuhakikisha madereva hawazidishi mwendo kuhatarisha maisha ya watembea kwa miguu.
Kama serikali inataka kuzifanya freeways, basi inabidi itenganishe magari na watembea kwa miguu.

Kweli mkuu, huwezi kuwalaumu watembea kwa miguu pekee bila kuwalaumu madreva wanaoendesha magari bila kuzingatia speed limit ya eneo. Barabara ambayo magari, waenda kwa miguu, waendesha baiskeli, na mifugo wananchangia haiwezi kuwa bila speed limits. Tuna tatizo la serikali kushindwa kudhibiti spidi za magari ndo maana kila leo magari yanateketeza watu barabarani.
 
Ni kweli kuna tatizo kwa pande zote mbili na mara nyingi ajali za mabasi kwa mfano yanaua watu wengi kwa mpigo pale dereva anapojaribu kuokoa maisha ya mtembea kwa miguu au mwendesha baiskeli na cha ajabu raia/wakai wa maeneo mengi badala ya kutoa msaada wana waibia waliopata ajali. kwa kweli ni tatizo.
 
Lakini naammini ipo sheria ya speed ya gari linapopita katika makazi ya ya watu ingawa ni highway madeeva wakiifuata itapunguza sana ajali nadhani tumeona ongezeko kubwa la ajali kila barabara zetu zinapo zidi kuboreshwa madereva nao ndio wanazidi kukanyaga mafuta.

Tatizo letu sisi watz wengi ni limbukeni ndiyo kwanza tumeanza kumiliki magari kwa hivyo lazima tuonyeshe kwamba tunaweza kuendesha kwa spidi kubwa. Na kila ukiwa na gari kubwa ndiyo unazidi kuringa.
 
Hapo Usa river mwezi ulopita tu, Wanachuo wa Tumaini nao walifanya hivyo hivyo mwenzao kagongwa wakaja kufunga njia eti wanataka matuta, FFU ikapitisha kichapo wakatakimbia njia ikafunguliwa na hadi leo hakuna tuta pale
Mkuu matuta yapo,umepita lini?
 
Hapo Usa river mwezi ulopita tu, Wanachuo wa Tumaini nao walifanya hivyo hivyo mwenzao kagongwa wakaja kufunga njia eti wanataka matuta, FFU ikapitisha kichapo wakatakimbia njia ikafunguliwa na hadi leo hakuna tuta pale[/QU Mkuu mie natumia hiyo barabara inayopita hapo Makumira kuna matuta makubwa na madogo
 
Back
Top Bottom