Barabara kuchimbuliwa na kujengwa upya fedha za kumaliza ujenzi tunazo au deal?

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Barabara nting zimechimbuliwa na kuanza kuchongwa kwa malengo ya kujengwa upya, Serekali inayotegemea wafadhili inayo fedha ya kuzijenga au kuna usanii wa wachache kutaka kula maana kila project mpya huwa kuna pesa ya upembuzi yakinifu,Tender,Fidia. Nadhani Magamba wanaipiga hii pesa kwa ajili ya kampeni 2015 na hawana nia ya dhati ya kutengeneza Barabara. Macho tunayo tutaona kama kweli njia ya Kimara itarudi katika hali nzuri. Na ni kwanini matengenezo haya yaanze muda huu.
 
Alafu hiyo barabara ya kwenda Mbezi kutokea Kimara mwisho wataifanyia marekebisho? maana foleni ile siyo nzuri kwa shughuli za maendeleo, inakula sana muda aisee...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom