Bara la Afrika lazidi kupasuka vipande

Haaaaahaaa... nimecheka sana, kuhama na CCM kwenda new AFROASIA CONTINENT ni sawa na kuhama na gunia la siafu. Haina haja ya uchaguzi tena Zanzibar, maana mwisho wake umefika.
hahaaaa hii nimeipenda, haina haja ya uchaguzi maana mwisho wao umeshafika
waanze kuhamia huku bara fasta
 
Pole kwa watakao kuwepo lkn kwa kizazi chetu hakuna ataye shuhudia maajabu hayo
 
D

Kwa hiyo DRC congo watakua na bandari!?.........kweli Mungu si Juma wala Masanja!!!
Nchi nyingi mno watakuwa na bandari.
Kwa sababu hiyo kuwa na bandari haita kuwa big
Deal tena.

Labda tutakuwa more creative kwa maswala
Mengine. Either way I think we will benefit more ....
 
Ndoto za Hayati mwalimu zitatimia maana alikua akitamani hata kuvitupilia mbali huko hiv visiwa.
Hahaha, unaweza kukuta visiwa vikajiunga Bagamoyo.

Wakati huo wote tutakuwa tushakufa au kuhamia sayari nyingine miaka milioni nyingi kabla.

Hizi habari zinaweza kuchukua miaka milioni hamsini, kwa hiyo usifikiri ni habari za miaka hamsini au mia.
 
Hahaha, unaweza kujuta visiwa vikajiunga Bagamoyo.

Wakati huo wote tutajuwa tyshakufa au kuhamia sayari nyingine miaka milioni nyingi kabla.

Hizi habari zinaweza kuchujua miaka milioni hamsini, kwa hiyo usifikiri ni habari za miaka hamsini au mia.
Mkuu unaamini kuna maisha baada ya hapa? Sayari nyingne
 
Mkuu unaamini kuna maisha baada ya hapa? Sayari nyingne
Kama watu walivyovuka kutoka Ulaya kuja Marekani, watu watavuka kutoka duniani kwenda kutafuta maisha sayari nyingine.

Tatizo kubwa lisiloweza kutatuliwa ni lipi?
 
Hakuna aliyekwenda akarudi kutupa uhakika
Hata huko Ulaya kabla ya Columbus kuvuka bahari hakuna aliyerudi kuwapa uhakika, hilo halina maana baadaye watu walishindwa kuhamia Marekani.

Kinachotafutwa si uhakika, kinachotafutwa ni uwezekano.

Kwa sasa sayari zote za solar system, mpaka Zebaki, zina maji.

Binadamu wanafijia uwezo wa kusafiri sayari mpaka sayari katika mfumo wetu wa jua. Wameanza kugundua sayari zinazo zunguka nyota nyingine, na wakiweza kusafiri sayari yenye hali kama ya dunia yetu, kwa nini wasiweze kuanzisha maisha upya huko?
 
Mmmh lets wait mkuu it take million of yrs lkn duniani kuna vitu vingi sana ambavyo hatuvijua i knw tht.
 
Yaani kumeguka kwenyewe, nchi zetu zenye uchumi halijojo ndo tunajitenga, mbaya zaidi "bara" letu litakuwa na Al shabaab.
 
Natamani itokee hata mwaka kesho maana hili bara ni giza tupu, watu na chama lao wanapigwa chini maana kule tutakuwa chini ya Al shabaab.
 
Maombi yanahitajika sana kwa hili jambo.
Kilichotokea Afar ndicho kinachowatisha wengi..kwasababu ardhi ilididimia ndani ya siku chache .Kwa hiyo kupasuka kunaweza kuchukua miaka milioni 50..au hata ndani ya siku chache. Ni miujiza isiyotabirika.
dn18114-1_500.jpg

Giant crack in Africa formed in just days
 
Back
Top Bottom