Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,101
Mkuu, Tutaitwa AfroAsian Continental !!Tuwe huko Asia ni shida tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Tutaitwa AfroAsian Continental !!Tuwe huko Asia ni shida tupu
Hapana hii hapa ni voidKumbuka msemo wa wahenga..hujafa hujaumbika.
hiki chama ni kama ngozi hutakaa ukiache popoteMkuu bora tusepe tu, ila sa sijajua kama tutondoka na kile chama ama tutakiacha huku!
Labda hulijui hili bara vizuri..sehemu kubwa ya bahari ya hindi ilikuwa nchi kavu yenye misitu minene.yaani Gondwana.. Mchakato wa bahari kumeza ardhi na viumbe vlivyomo ni kitu cha kawaida na hasa linapotokea tetemeko kubwa. Mchakato huu ndio huwa chanzo cha gesi asilia na mafuta.lakini utafiti wake unaonyesha bahari inavamia makazi ya watu haiwezi kutokea hata kama ingechukua miaka mingi.
Dunia kaumba nani..au ilijiumba yenyewe ?Huyo Dr. Anayefanya utafiti ndo kasema Mungu hajamaliza kuumba au wewe mtoa maada?
Tanzania itakuwa na Somalia mkuu!afadhali, Tanzania tutakua sio waafrica tena
Hili swali nilikua najiuliza muda mrefu sana hasa kuhusu ziwa lukwa.Labda hulijui hili bara vizuri..sehemu kubwa ya bahari ya hindi ilikuwa nchi kavu yenye misitu minene.yaani Gondwana.. Mchakato wa bahari kumeza ardhi na viumbe vlivyomo ni kitu cha kawaida na hasa linapotokea tetemeko kubwa. Mchakato huu ndio huwa chanzo cha gesi asilia na mafuta.
Kwa wale tunaoishi karibu na bonde la ufa -Rift valley, hili halitushangazi,kwani haipiti mwezi bila tetemeko la ardhi kutokea.Lakini ni dalili kwamba bara la Afrika linameguka ,tena kwa kasi.
Kwa mujibu wa utafiti unaofanywa na Dr James Hammond katika eneo lililopewa jina la Afar Triangle ambako ardhi imeanza kuzama na kuanza kutengeneza umbo linaloonekana kama maandalizi ya kuibuka kwa bahari itakayolitenganisha na kulipasua bara la Afrika katika mapande mawili. ni dhahiri kuwa muumba wa mbingu na ardhi bado hajamaliza uumbaji.
Kwa mujibu wa utafiti huu pande moja (plate) litazibeba nchi za Afrika mashariki..Tanzania,Kenya,Ethiopia,Somalia ,Uganda ,Rwanda ,Burundi na sehemu ya Msumbiji. Mpasuko huu utapita na kufuata maziwa makuu ya Tanganyika,Nyasa,Albert, Kivu na Edward.
Ingawaje mpasuko huu ni wa milimita chache kwa mwaka lakini mtafiti huyu anasema kasi hii ni kubwa kuliko sehemu yoyote duniani.View attachment 321738
Ila kawatoa hofu waafrika ..kwani mipasuko kama hii huchukua mamilioni ya miaka mpaka kukamlika. Lakini mwenyezi mungu huwa hana ahadi na yeyote. Akitaka litimie basi litatimia hata sasa.. hakuna wa kuzuia.
Giant crack in Africa formed in just days
Scientists are sounding the alarm: the mysterious cracks appear across the planet
Uko sahihi..tunatembea juu ya tectonic plates.Kwa waliosoma Plate Tectonics na Isostasy (Isostatic Equilibrium) hawatapa ugumu kuelewa kinachoelezwa hapa, hasa ukizingatia swala zima la Global warming na kasi ya kuyeyuka kwa theluji kubwa za Arctic & Antarctica