Bara bara ya Mtukula-Bukoba-Muleba-Biharamulo-Rusahunga

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakuu wana JF naomba kupatiwa taarifa kama kuna anayejua kama barabara niliyo itaja imekamilika au la kwani ni muda mrefu tangu nipite njia hiyo miaka ya 1998.

Nakumbuka kuna ile ya kupitia chato kwenda muleba lakini sijui hii ya kutoka uganda kupitia bukoba, muleba, bimlo na hatimaye kuungana na inayotokea Rwanda/Burundi pale Lusahunga.
 
Nimepita juzi tu,barabara ni zuri tu

kutoka bukoba hadi muleba lami tayari karibia kuingia lusahunga wanamalizia kutandika lami

kama unataka kusafiri barabara ni nzuri tu ila kuna vipande humo kati kati havijamalizika ipasavyo

kwa miezi miwili au 3 usafiri wa kutoka ugandfa,bukoba,muleba,biharamulo,chato,geita au kahama utakuwa bombaaaaaa
 
Asante mkuu make natarajia kutinga mitaa hiyo hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom