Bar ya Macheni ilioko Magomeni Mapipa imevunjwa ovyo ovyo

umejibu vema mkuu......hili eneo watu walikua wanauza vyao wanaingiza kipato kikubwa tu kwa siku.......

daa unakumbuka kile kikundi cha kanga moja ndembe dembe laki si pesa wakitumbuiza pale njee watu walikuwa wanajaaaaa
 
Bar maarufu ilioko Magomeni Mapipa sasa imevunjwa kutokana na uapanuzi wa barabara kwa sasa
zile huduma zote zilizokuwa zikipatikana pale kwa sasa hamna ukifika pale usiku utakutana jengo limevunjwa na polisi jamii wakiwa wameweka doria eneo hilooo

Wapi zimehamishiwa (au zimehamia) zile HUDUMA al-maarufu zilizokuwa zinapatikana hapo Kwa Macheni? Mwenye taarifa tafadhali shea habari hiyo.
 
sasa ambiance gharama sana mkuu...ngoja niamie kimboka tu japo fujo nyingi sana mitaa ile......

uwanja wa fisi sasa hivi....bei rahisi unalipia gesti 200 halafu huduma 500 i think hapa ndo bei nzuli kwa walala hoii
 
daa unakumbuka kile kikundi cha kanga moja ndembe dembe laki si pesa wakitumbuiza pale njee watu walikuwa wanajaaaaa

mkuu hayo ndio mambo yangu mie ati...nlikua nikitoka job lazima nipitie pale kabla ya kwenda kwa mama watoto kuangalia show zao bana huku napata mbili tatu si unajua tena stress za hii life....

ila nasikia wana fanya show maneo ya sinza mitaa fulani hivi...itabidi nibadili kituo
 
Bar maarufu ilioko Magomeni Mapipa sasa imevunjwa kutokana na uapanuzi wa barabara kwa sasa
zile huduma zote zilizokuwa zikipatikana pale kwa sasa hamna ukifika pale usiku utakutana jengo limevunjwa na polisi jamii wakiwa wameweka doria eneo hilooo

Huduma zote zinahamia Lumumba street
 
mkuu unaishi mjini au uko mkoani??

Mimi mwenyewe nimebaki kinywa wazi, maana ninaposoma kuna dalili ya kingine zaidi ya maji kwa mzee kilichokuwa kinaendelea. Kama mambo ndio hivo bora wamebomoa kuokoa roho za watu.

Miaka kama mmene hivi imepita nilikuwa na safari ya kikazi mikoa ya kusini nyanda za juu, nikabahatika kupata furniture fulani kwa bei poa nikaamua kuzinunua na kupakia kwenye truck lililokuwa linarudi Dar. Tulipofika eneo la karibu ya Manzese walisimamisha gari wakaingia mahali kuna bar, nikasubiri mizigo yangu waifikishe, nilipofuata pale nilichokutana nacho ndani ya bar ile niliamua kugeuka na kuchukua gari jingine linifikishie mzigo wangu.

Kuna bar ambazo ni kichefuchefu, na wanaoendekeza ni sisi wanaume wapenda vya kuanikwa. Ninachoonea huruma kuepukana na nipe tupakane marashi tusafiri wote ahera vigumu kukwepeka mahala kama pale. Sijutii kubaki na ujinga wangu kwani licha ya kunilinda ni ukombozi wangu binafsi kiroho, kimaadili, kimwenendo na manufaa kwa familia inayonitegemea.
 
Back
Top Bottom