Bar ya Macheni ilioko Magomeni Mapipa imevunjwa ovyo ovyo

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
29deb733-38f4-35d9.jpg

hii sehemu iliwaumiza wengi sana!!!!

29deb73e-3a9a-664f.jpg

kilio cha wacha mungu kimefika mbinguni.
 
...Hivi kwanza Macheni mwenyewe yuko wapi siku hizi?? Ama ameanza KUFUA...???
 
Macheni kafulia teh teh teh...na yule boss aliyekuwa anapakaziwa kwamba ndio mdhamini wa mambo hayo machafu anapigania kusalimika kwenye kesi ya kutumia madaraka vibaya. Ukiona hivyo ujue times change...we also must be changing
 
Tuzidi kuomba Mungu hizi ajira za jk ziishe maana machangudoa wamezidi humu mjini.

ingawa hao mbwa mwitu watatawanyikia kitaa, kwa jinsi mitego yao inavyokuwa, tutegemee watawapata wanakondoo huko.
 
Hussein macheni na bibi ake Ashura macheni ndani ya bilicanas usiku wa twanga

mkuu unatisha!!!!
Kitendo bila kuchelewa foto mwaaa jamvini, naamini TSJ ni ukiritimba wa kuhabarishana.
 
Bar maarufu ilioko Magomeni Mapipa sasa imevunjwa kutokana na uapanuzi wa barabara kwa sasa
zile huduma zote zilizokuwa zikipatikana pale kwa sasa hamna ukifika pale usiku utakutana jengo limevunjwa na polisi jamii wakiwa wameweka doria eneo hilooo
 
Back
Top Bottom