bar ya kustart computer ina kataa kuwa cliked

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
habari zenu jamani

computer ambayo ninatumia kwa sasa inanisumbua kwa jambo moja kwamba kuna bar ambayo kama ukiminimize certain folder unaweza kuiristole kwa kuclik kwenye hiyo bar ila sasa inakataa cjui nimeharibu wapi kama kuna mtu anaweza kuniambia jinsi ya kusolve hili tatizo nitashukuru sana

please i need ur help.
 
Unazungumzia bar ipi?????!!!!, eleza vizuri
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom