Bao la kete

Mgenzi

New Member
Dec 11, 2011
2
0
Hamjambo!

Ninaandika hapa kwa mara ya kwanza, kwa hiyo tafadhali unisamehe nikifanya makosa ya aina yoyote!

Kwa kawaida ninashindwa kuelewa maneno ya nyimbo za Kiswahili (za lugha yoyote, kwa kweli!) mwanafunzi mmoja wa Kiswahili alitaka kufahamu wimbo huu: (AT - Bao La Kete (HD)). Mimi nilishindwa kabisa, kwa hiyo niliomba mtanzania mmoja atusaidie, lakini huyu amekataa kwa kusema kwamba wimbo uliimbwa kwa mafumbo sana, yaani maana yake halisi imechanganyika na matusi!

Je, ni kweli? Hata kama ni kweli, haiwezekani kupata maneno yake?

Asante
 
Back
Top Bottom