Bankers wanahitajika..

its among the largest pan african bank in Africa........mwenye shida ya ajira na kuongeza net yako ataweza ku PM lkn km huhusiki potezea...
 
send your CV and appl letter to (uba_recruit@live.com)...
 
Tapeli ww Taasisi ya kifedha haiwezi kutumia Live domain mkuu. Kwaibie Facebook huko. Labda ungheandika email ni recruit@[COLOR=#b22222]uba[/COLOR].com

Kwenda Zako huko

asante kaka...mimi siyo hr wa UBA,ninachofanya ni kuwapa watu access....kwa taarifa yako email za uba haziingii email kutoka nje,ninachokifanya ni kuzi download na ku'forward panapohusika,koz hata mie nilipata kazi hapa kipitia mtu aliyefanya kama mimi ninachofanya.....waweza kuipotezea,haina kesi.
 
hahahaaaa....... uyu nae sijui tumtupie wapi usidanganye watu hapa!!!akili fupi!!
 
its among the largest pan african bank in Africa........mwenye shida ya ajira na kuongeza net yako ataweza ku PM lkn km huhusiki potezea...

Eti mwenye shida na ajira,tangazo la kazi linatakiwa liwe public na fair kwa watu wote,mtu hawezi kuwa interested kama hajaelewa anaomba wapi na lazima ajue mazingira ya kazi anayoombea we kama vp weka tangazo linalojitosheleza acha mbwembwe.Ukishasema UBA ndo iweje? weka job responsibility tujue.
 
asante kaka...mimi siyo hr wa UBA,ninachofanya ni kuwapa watu access....kwa taarifa yako email za uba haziingii email kutoka nje,ninachokifanya ni kuzi download na ku'forward panapohusika,koz hata mie nilipata kazi hapa kipitia mtu aliyefanya kama mimi ninachofanya.....waweza kuipotezea,haina kesi.

Mkuu utapeli wako upo Uchi wa myama yani unadownload CV za watu halafu unafoward mkuu ina maana hiyo email uliyoweka hapo juu uba_recruit@live.com ni ya kwako kwahiyo tukituma unadownload www kwanza halafu unafoward kwao si ndiyo. KWahiyo unazotuma ww kwao zinafikaje kama za kwetu haziingii. Huwezi kua na upendo huo kupitiliza. Unaitwa nani ww kama kweli upo UBA kwani ni siri kutangaza oportunities la hasha sio siri basi Taja unaitwa nani kama ww sio tapeli
 
ntakushushia hiyo internal advert,huhitaji kunijua ili ulete CV,na km huamini kwamba kuna watu wanapata ajira kwa stahili hiyo....its nt my problem at all....
 
Nataka nitume lkn ngoja kwanza nisikilizie,ma'great thinkers naona wapo kazini
 
Back
Top Bottom