Bank zinazotoa Personal Loans

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
wanajf naomba wenye taarifa za kibenk nakoweza pata personal loan bila longolongo za momorandam of understanding kati ya employer na Bank. mabenk mengi naona hawakubali kukopesha kama hamna makubaliano kati ya mwajiri na bank hata kama mshahara wangu unapita katika hiyo bank,

kama yupo aliyeweza kupata kwa njia tofauti na hiyo naomba atujulishe na kwa mashariti yapi mbadala!................. waajiri wengi ni wagumu kusign makubaliano na mabank wanaroho mbaya sana)
 
Karibu JF EMPOWERMENT SACCOSS, join today!!!
 
jaribu access bank, nadhani watakukopesha tu ila huwa wanawakopesha wafanya biashara zaidi. moja ya masharti ni kuwa na leseni ya biashara na vitu vya ndani pamoja na vya dukani vinaweza kukudhamini,
keep it up, na siu moja utafanikisha..ukifanikiwa usisite kufanya kasherehe tukala angalau 10%.....joking!
 
Kituko kashasema,nenda stanbic. Nami narudia humo humo ktk maneno yake.
 
nenda barclays. Wana premium account. Wanawezesha kukopesha hadi 20 times ya mshahara wako kama una net take home ya zaidi ya milioni moja.
 
nenda barclays. Wana premium account. Wanawezesha kukopesha hadi 20 times ya mshahara wako kama una net take home ya zaidi ya milioni moja.
thanks mkuu ntachek nao kesho vp hawana mashart mengne kama ya mou (makubaliano ya bank na mwajiri)
 
jaribu access bank, nadhani watakukopesha tu ila huwa wanawakopesha wafanya biashara zaidi. moja ya masharti ni kuwa na leseni ya biashara na vitu vya ndani pamoja na vya dukani vinaweza kukudhamini,keep it up, na siu moja utafanikisha..ukifanikiwa usisite kufanya kasherehe tukala angalau 10%.....joking!
ingawa siyo wa busness ila hawa jamaa ribar yao iko juu sana ukiwa makini wa mahesabu riba yao kwa mwaka inazidi 45%.
 
Waku baclayz wanatoa after 3 month stanbic after 1 month ila fedha yao ndogo nasubiria, baclays wanaweza kuwa msaada zaid. Thanx guyz
 
Back
Top Bottom