Bank za Tanzania ni kwa ajili ya nani?

Muasis

New Member
Oct 22, 2011
1
0
It is a pity to see us unknown heroes to die unsung see? Eti benk cku hizi kutoa mikopo unaacha hati ya nyumba ama hati ya gari hakuna kitu kingine kinachoweza kukudhamini kama wewe sio mfanyakazi...so this country is for imperiarists and not us who leave in a community na mara nyingi tunaishi nyumba za kupanga na tunatumia public cars.
 
mkuu hii ni biashara, benki siyo mashirika ya umma! kama huna hata document yoyote ya maana inayoonyesha umewekeza kitu gani hapa duniani amabacho ni tangible au intangible unaenda benki kufanya nini?
 
It is a pity to see us unknown heroes to die unsung see? Eti benk cku hizi kutoa mikopo unaacha hati ya nyumba ama hati ya gari hakuna kitu kingine kinachoweza kukudhamini kama wewe sio mfanyakazi...so this country is for imperiarists and not us who leave in a community na mara nyingi tunaishi nyumba za kupanga na tunatumia public cars.

Nothing for nothing.
 
Mzee bank za TZ ni kwaajili ya mafisadi tu kama we si fisadi utapewa masharti magumu sana kupata pesa.
 
Bank nyingi Tz ni kwa ajili ya wezi wachache wanaojifanya wanamiliki uchumi. Lakini pia ukifanya urafiki na wafanya kazi wa hizo bank tegemea kupata midili ya hapa na pale kabla ya kukulipukia ukikaa vibaya.
 
Mkuu,
Bank nao wanafanya biashara haziko kwa ajili ya charity.Kama hauna kazi ya maana au assert yoyote unayoweza kuitiumia kama collateral watakuaminije kama utarudisha pesa yao.Mtu yoyote anaweza kununua business plan nzuri nzuri akapewa mkopo akasepa
 
kama umeshindwa bank nenda saccos au kule microfinances(pride,finca au access) sawa baba uko ndio mahohehahe wanakopa..
 
Back
Top Bottom