Bank ya NMB inahitaji pongezi kwa kuepusha migomo na machafuko nchini

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kwa sasa ndio inalipa watumishi wote wa serikali mishahara. Kuna Overdraft a/c maalumu kwa shughuli hio.
 
Mkuu! Migomo na machafuko kivipi?, si ndio kazi yao kulipa mishahara watumish? Or you meant tresuary is in bankrupt?
 
Mkuu, umeongelea Machafuko. Sijui ulikuwa una maanisha nn.
 
Kuna mtu amekuja na tread yake leo thread zote zisizo na na miguu na kichwa zitemwe. Please MODS naungamkono hoja
 
Tumekuelewa mkuu,
Unayo taarifa muhimu sana ambayo inatujuza liquidity ya serikali iko mashakani kwa sasa, kwani inaonekana haina uwezo wa ku-meet kulipa the most preferential creditors wake mojawapo ni mishahara.Na hivyo ili kuepusha migomo makazini imebidi kuingia mkataba maalumu wa mkopo na NMB ili kila ifikapo mwisho wa mwezi NMB walipe mishahara huku waki-record deni kati yake na serikali.Madhara ya hili ni kwamba serikali ya JK inaweza ku-relax hadi deni liwe kubwa na kuifanya serikali yake mufilisi.Tukumbuke 60% ya mapato ya serikali inalipwa mishahara, now you can imagine how bigger is the Internal Debt going to grow.Mwaka huu kila mtanzania anaweza kudaiwa shs.1ml. kwani deni la ndani litaongezeka drastically.TUSUBIRI TUONE
 
Kuna uhusiano gani na title yako? Jaribu kuyaconnect mkuu!

Mbona kila kitu kiko clear!! Serikali iko chali NMB wanaisave kwa kuwalipa wafanyakazi. Bila mishahara wafanyakazi wangegoma. May be swala hapa ni kuverify kama hizo info ni za ukweli au za mtaani!!
 
NMB itaendelea kulipa mishahara mpaka lini?

Mkuu hizo ni short term strategies ambazo JK anajaribu kutumia kuweka mambo ya serikali sawa lakini akumbuke kwa kufanya hivyo inabidi awe kasi ya ajabu kutafuta suruhu ya tatizio la UKATA unaoinyemelea serikali yake.Vinginevyo akumbuke Overdraft itaendelea kukua na mwishoo wa siku NMB watasema deni limefikia ukomo, litatakiwa kulipwa kwani ni short-term loan at most one year
 
kwa sasa ndio inalipa watumishi wote wa serikali mishahara. Kuna overdraft a/c maalumu kwa shughuli hio.

mnashangaa hili la NMB, mbona mwaka jana watumishi wamelipwa mishahara toka TANAPA. Nina wasi wasi kama pesa hizo zilirejeshwa!!!!!!!!!!!!!! Hawana pesa za kulipa mishahara ya watumishi, lakini za kulipa DOWANS wanazo..........
 
Back
Top Bottom