Jamani mbona si poa
Member
- Mar 6, 2012
- 48
- 3
Kuna tetesi za baadhi ya maofisa wa BOT kujihusisha na rushwa kwa kutoa vibali vya biashara ya non banking kwa watu wanaokopesha watanzania wenzao kwa riba za juu sana na kuchangia umaskini kwa mtanzania.
Pana mtu anaitwa Salva Kazimoto ndiye mhusika mkuu mla rushwa naomba vyombo husika fanya uchunguzi na chukua hatua mara moja; tumechoshwa na wahalifu katika ofisi za umma.
Kuna ka ofisi pale jirani na Chuo cha Ardhi survey yule. Massawe anawaibia watu, kuchukua Form ya Kuomba mkopo lazima utoe laki moja ni non refundable uwe umepata au ukose mkopo laki imeenda. Na mara nyingi hatoi mkopo anakusanya tu laki kwa yeyote anayetia mguu.
Wapo wengi wa namna hii na BOT wamekaa tu wanaangalia kwani ndio wanufaika.
Nchi hii inaenda wapi jamani kamateni hawa wezi na kufunga jela.
Nawakilisha.