Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
Hii system ya benki za Tanzania kukupatia kadi mpya kwa gharama ya Tsh. 10,000 ati kwa sababu imekuwa blocked kwa kuingiza wrong PIN number ni wizi wa waziwazi kabisa. Card bado mpya kabisa, kwa nini wasiwe ni mechanism ya kumtumia mteja PIN number mpya?<br />
Huu ni wizi ambao wateja tumeukubali bila kuchukua hatua zozote kupitia card products.
Huu ni wizi ambao wateja tumeukubali bila kuchukua hatua zozote kupitia card products.