Baniani mbaya Lakini kiatu chake dawa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Bora lowasa kuliko pinda kwani pinda umewaangusha wananchi wako,kikwete umeshindwa kuonyesha nikitugani unakipa kipa umbele!Viongozi wasiyo weza kusema kitu juu ya sakata la mafuta wakati wanaona wananchi wanapata tabu!nibora mseme na mkemee tabia hii kwani msipo sema neno lolote ndo mwanzo wakuwa watu wanajiamlia wanavyotaka kwani wanajua serikali ni legelege.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom