Bango: Huu si Ukabila na Ukanda?

Wakulaumiwa hapa ni katibu mwenezi Nape ambaye alishasema hawezi kuhamia Chadema kwa sababu yeye si Mchaga, Sasa tutegemee tofauti kutoka kwa wanachama wake?
 
Halafu mabango yao yote yanaonekana kuandikwa na mtu mmoja tu! Mwandiko unafanana karibu ya mabango yote! Inaonekana hata wanaoyabeba hawajui kilichoandikwa, ili mradi wamepewa fulana, na kofia na pilau na kupewa lifti kwenye malori. Huku ni kuwadharau Watanzania!

Lingine, hiyo propaganda yenu chafu kuwa wapinzani wa kweli ni fujo, sasa haiwarubuni watanzania tena. Mjaribu nyingine. Inashangaza wakati wa uchaguzi mnawavisha maelfu ya watu Tshirt na kofia na kuwasafirisha lakini mara baada ya uchuguzi, nguo wanazovaa zinatia uchungu!
 
Kuna mtu hapo pembeni ya bango kashika maji ya Kilimanjaro. Amenifurahisha maana inaonesha jinsi hawa watu walivyo na low IQ
 
Mi naamini aliyeshika bango sijui kama maisha bora yamemtembelea na yy anaamini maisha bora ni kofia na tsht za njano na kijani,sijui kama watoto wake wanapata elimu bora,sijui kama anapoishi kuna huduma nzuri za afya,sijui kama barabara inapitika,na ajui kwamba matatizo yote hayo yamesababishwa na chama anachoshabikia,poleni sana watanzania mnaokumbukwa siku za kampeni,poleni sana
 
Ndio walionunuliwa kumlilia fisadi..sasa wanaonyesha tena jinsi umaskini wao unavyowafanya wakose fikra zenye upeo.
 
Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu.

Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?

Acha kutetea ujinga kwa kisingizio cha kutumia uhuru wa kutoa maoni. Hivi nikiandika bango la kuhamasisha watu kuandamana kuelekea magogoni ili kumfukuza mkuu wa kaya pale utaniunga mkono kwamba natumia uhuru wangu wa kutoa maoni? Tukubali ukweli kwamba hao makada walioandika hilo bango wamechemka kupita kiasi na CCM kingekuwa chama makini kisingeruhusu makada wake kutumia lugha kama hizo!!!!!

Tiba
 
AUmetaka tutoe maoni maoni yangu ni kwamba bango hilo lilitakiwa lisishikwe na mtu aliyevaa kama huyo jamaa na lingeandikwa hivi:

Vurugu zenu mkafanyie Arusha na Kilimanjaro ambako watu wameamka na hawataki tena kunyanyaswa.
 
Bado wamelala, wanadanganywa ni mapambano ya ukabila na udini huku wanazidishiwa ufukara kwa unyonyaji. Arusha nyumbani kwa azimio la wanyonge haitatulia hadi mizimu ya azimio itulie hasira. Baragumu linalia kutokea arusha nchi inahitaji matumaini mapya ya wanyonge. Ufisadi umetamalaki kama ndio sera rasmi ya chama tawala.
 
kuna vurugu hapo. au ndo mshazoea kupandikizwa ujinga?
View attachment 98690


Mkuu

-hapa kunautulivu wa hali ya juu

-kunanidham ya hali ya juu

Ni wenye ulemavu wa fikra zilizo pinda kipindapinda kama Chagonja na Pinda wanaoweza kusema kunavurugu na

kushambulia raia wasio na makosa yoyote. Watu wametulia mabom na Risasi vya nini kama sio kurukwa na akili watawala wa ccm?
 
Back
Top Bottom