Bangi

Miss Pirate

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
305
74
Kuna jamaa walikuwa wanavuta bangi, kiberiti kikaisha. Wakamtuma mwenzao mmoja nje akatafute kiberiti, yule jamaa aliyetumwa akatoka akazunguka na kurudi tena ndani kwa wenzake akawauliza 'jamaa mna kiberiti mniazime?'

Wenzake wakamjibu, 'kaa usubiri kuna mwenzetu tumemtuma'
 
Kule uswahili kuna bangi inaning'inizwa kwenye shimo la choo kwa wiki moja ili iwe kali.
 
Back
Top Bottom