bangi nomaaa

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Kuna wavuta bangi wa3 walishea idea wasukume ukuta wa nyumba hadi ile nyumba isogee mbele zaid ya pale,mar moja wakavua mashati yao na kuweka pale chini na kuanza kusukuma ukuta,wamesukuma hadi wakaswet sana,mara kuna jamaa m1 katokea kwa nyuma taratibu akakusanya yale mashat na kuyarudisha nyuma kam mita 20hiv na kuondoka.mara m1 wa wavuta bangi wale akageuka kwa nyuma na kusema;WASHKAJ TUMESUKUMA UKUTA PAREFU EMBU CHEK MASHAT YALIKO,ahahah!BANGI JAMAN NOMAAAAA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom