Bangi Noma.

wa home

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
233
41
mzee mmoja aliwakataza vijana kuvuta bangi karibu na nyumba yake wakaamua kumwamisha, wakavuta mbangi wakavua shati wakaanza kusukuma ile nyumba kibaka akapitia zile shati, mmoja wao alivyogeuka nyuma hakuziona akajua wameshafik mbali akawaambia wenzie 2kazane 2mefika mbali hata nguo ze2 hazionekani wakaendelea mpaka bange zilivyoyeyuka kchwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom