bangi mbaya

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Jamaa mmoja alikuwa anavuta bangi,sasa kwa bahati mbaya msokoto ukazima.alikuwa na njiti 3 za kiberiti tu zimebaki. akijaribu kuziwasha,
1 na 2 havikuwaka.bahati nzuri cha 3 kikawaka

Akasema, hiki kizuri! Akakizima. Ngoja nikitunze.
 
bangi ni noma!kuna siku moja,nilikuwa sehemu fulani tumekaa nje mida ya saa 8,mchana,nikaona jamaa anatoka ndani ananyata huku ameshika chemli,inawaka eti anaona giza!!
 
Back
Top Bottom