Bandarini Dar: Utoaji wa gari!

Andaa pesa ziada ya hiyo utakayokokotoa kwenye hiyo formula, zaidi ya nusu yake! Vinginevyo utaumia kwenye bandari yetu, na Tiscan hawachelewi kukuambia kwamba gari lako lilikuwa underpriced na watakachokufanyia ni kitu wanaita ku-uplift thamani!! Conspiracy na clg agents? They don't feel any mortification.
 
hbari zenu wakuu naomba kufahamishwa kuhusu hili suala je ni vigezo gani vinatumika katika ulipaji wa gari uliloliagiza nje ya nchi?je ni bei ya gari mfano ukinunua gari kwa usd 2000 je ikifika hapa unaweza ukalipa bei gani gari ya 2003 au je ni mwaka ambao gari imetengenezwa naomba kufahamishwa manake bei ya kutolea gari bandarini ni kubwa sana..
 
Back
Top Bottom