bandari za Tanzania

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
nilipata fursa ya kutembea bandari moja katika nchi fulaani..nikakuta kazi wanazofanya ni kupakia mizigo kwenda nchi nyingine kutoka kwenye viwanda vyao..pia nikatembelea bandari ya dsm yenyewe hiko busy kushusha mizigo kutoka nchi nyingine mpaka nafasi inakosekana ya kuweka mizigo..

Je tutandelea mpaka lini kuwa soko la viwandani vingiene..

Mwl.Nyerere alisema huwezi kuwa na uchumi imara kama hakuna viwanda endelevu..sasa viwanda vyote chali..tumebakiza magofu tupu..

Shida ya Tanzania nini hasa?
 
hakuna uzalendo.....shule hazifundishi uzalendo kabisa.....vile nyimbo zetu siku hizi hakuna kabisa......watu wanaishia kufikiria kuwa matajiri fasta fasta.....wengine wanakimbilia ulaya halafu wanasema maisha ya bongo hawayawezi, yamewachosha....sijui wanataka nani ndio ayafanye yawe mazuri.

kama na wazungu wangekimbia nchi yao sijui UK kungekuwaje sasa hivi.
 
Back
Top Bottom