Bandari ya Mtwara kupewa wazungu:wananchi wa mtwara mnasemaje!

Hili si kweli kabisa. Bali ni sehemu tu ya bandari yaani gati moja ndio wamepewa wazungu kwa ajili ya upanuzi na kuweka vyombo vyenye uwezo wa kushushia mizigo yake mizito.

Hawa ni wale wa Dangota na gas. Mimi ni mmoja wa watu tunaowekeza kule mtwara na washirika wangu wapo kule kwa tathimini zaidi.
 
bora wapewe tu wazungu kuliko ilivyo sasa, bandari haina hata kiberenge cha kuchotea mizigo kwenye kontena bwana ah!
 
Hili si kweli kabisa. Bali ni sehemu tu ya bandari yaani gati moja ndio wamepewa wazungu kwa ajili ya upanuzi na kuweka vyombo vyenye uwezo wa kushushia mizigo yake mizito.

Hawa ni wale wa Dangota na gas. Mimi ni mmoja wa watu tunaowekeza kule mtwara na washirika wangu wapo kule kwa tathimini zaidi.

Kwa mujibu wa Zitto jana bungeni kuwa walebanoni wanapewa bandari kwa ajili ya kufidia deni la ATCL amabalo serikali haiwezi kuilipa. Wewe huoni kuwa hapa pana ulakini? Lebanoni kwenyewe maskini unategemea nini sio kama hata vibelenge kuendeshwa na wao?
 
Hizo ni hujuma kwa watu wa Kusini. Kuna tetesi bandari hiyo wanataka ihamie Dodoma!
 
wapewe tu kwani wananchi wenyewe wa huo mkoa wameng'ang'ania magamba kama ndio wazazi wao
 
Back
Top Bottom