Banana country!!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Kwa wale wala ndizi mnao toka hukooo!!
Hapa wapi? Banana country!.JPG
 
Hapo ni Ntokela, Kiwira, Rungwe , Mbeya= Mabhifu zote mia, chukulia na watoto

Wakuu hapo ni baada ya Kiwira, kabla ya mto Kiwira just before kuanza kupanda milima sehemu inaitwa "Uwanja wa ndege".
Kama unavyoona ni mvua siku hiyo(kwenye kioo) na nilipaki kununua ndizi kwa ajili ya safari ya kurudi Dar siku ya pili.
<!-- google_ad_section_end -->
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom