Ban yangu mbona haishi jamani....!!!

Mzee wa SUP

Member
Mar 19, 2012
63
18
Habari mabwana wakubwa na wadogo,naamini wote wazima wa afya, mimi mzima huku nilipo hofu kwenu mulio mbali nami.
Lengo la barua/ujumbe huu ni kutaka kuwafahamisha kuhusu "infinite ban"!!
Sijui nimemfanya nini huyu Mod/s.Lakini mbona KONGOSHO alipigwa ban siku sifuri??iweje mimi?
Ndugu kongosho,ebu ni-pm unieleze jinsi ya ku-minimize/total distortion ya hii BAN.
Nawasalimu Invisible,paw,senetor,RR,kongosho,zitto,ben.....
Ni mimi mtiifu wenu ......
 
mmmh, yaani tena ukilalamika ndo anaongeza pitosin kwenye syringe badala ya fenegan.

Mie niliiba kuku tu, sasa wewe labda una kesi ya mauaji au uhaini.
 
Wewe unaandika barua kama email, kweli wewe dotcom wenzio barua lazima uanze na kwenu wandugu wapendwa alafu para nyingine uje na dhumuni, para nyingine utupe hali yako wewe uliye mbali na upeo wa kope zetu, huna maana endelea kula maban kuruta wewe
 
hahahaaaa. mia
 
Dooh Figaniga!!! mi nilikua na ID 5 NIMETWANGWA BAN MBK SEPTEMBER ETI kwanini nazihusisha ID ya sasa na zile za ban..yani kuna vituko humu..miss u Figga! ndo mana simuoni MWITA25 uskute kapigwa ban la forever,...
 
hakuna ndugu,kesi yangu ni ndogo kweli kweli.Kama kesi, basi hii yangu yakumchungulia mtu chooni na shahidi kipofu.
Eti kisa kuanzisha sredi ya chama pendwa.
 
Wewe unaandika barua kama email, kweli wewe dotcom wenzio barua lazima uanze na kwenu wandugu wapendwa alafu para nyingine uje na dhumuni, para nyingine utupe hali yako wewe uliye mbali na upeo wa kope zetu, huna maana endelea kula maban kuruta wewe

Lakini kumbuka "yaliyompata ungo na kibeku yatamkuta" na "husitukane mamba kabla yakuvuka mto"
 
Dooh Figaniga!!! mi nilikua na ID 5 NIMETWANGWA BAN MBK SEPTEMBER ETI kwanini nazihusisha ID ya sasa na zile za ban..yani kuna vituko humu..miss u Figga! ndo mana simuoni MWITA25 uskute kapigwa ban la forever,...

Mwika25 mpaka 2015 zitto akiwa rais wa tz.
 
hii ni sawa na kumuuliza teja mbele ya polizi 'unavuta kokeni au heroni?'

Ndo maana nami nilkuwa mstari wa mbele katka ule mpango wa maandamano ya kutaka urejeshwe.
Comment yako imenichekesha .
Big up Konnie
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom