Bambo aomba msaada

du!! itv,eatv,sijui radio one,eat....magazeti...kweli mengi ni mtu wa ajabu sana!!! pesa yake ni ngumu..ndio maana wafanyakazi wazuri hawakai pale
 
Usanii Tanzania unahitaji mageuzi makubwa - usingetegemea mtu maarufu kama Bambo kushindwa kujilipia matibabu iwapo mapato ya usanii mzuri yangekuwa inavyopaswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom