Bamaga:pale ni sinza,mwenge au kijitonyama?

Bora ya mie nipo hapa KILOMBERO, na wala sijali km iko wapi!
 
Bamaga ni jengo mkuu

We ndo umeongea point ya msingi. Bamaga ni Kituo cha mafuta tsn wala sio jina la eneo. Na ile sehemu inatakiwa ibomolewe kwani ipo kwenye hifadhi ya barabara lakini kwa kuwa ndo mambo ya kulindana jamaa anaendelea kula bata.
 
Ambiance yenyewe pale kwa wauza nyuchi ni Kijitonyama lakini utashangaa watu wanapaita Sinza. Mpaka wa sinza unaishia Sinza mori pale kwenye petro station ya bigborn..' ukishavuka hiyo yote ni kijitonyama. Kuanzia mori upande wa pili wa big born na meeda wa barabara iendayo lufungira, kuja mwenge, magorofa ya jeshi jirani na tra, africa sana, ambiance, barabara ya bagamoyo road na mita kadhaa upande wa pili wa barabara ya bagamoyo kwenda hadi usalama wa taifa kuvuka barabara kuingia ndani huko pote ni kijitonyama. Mwenge ni mtaa wa knyama. Na bamaga ipo mwenge... mwenge ipo kijitonyama... kijitonyama ipo kinondoni... Ni jimbo la Zungu.. bosi wake akiwa ni bwana Paul Makonda.
 
Mkuu Zungu ni mbunge wa Ilala, mbunge wa Kinondoni ni Idd Azan
 
Unajua mkuu mi nimesoma mapambano, enzi hizo tulikuwa tunajua na tunaandika mapambano ipo knyama na nimesoma nursery pale Africa sana (ushirika) mwenge. .....siku hizi maeneo yote hayo yanasemwa yapo sinza....hapo huwa nachoka
 
Angalia swali mkuu. sijakurupuka. hakuna mtaa wa bamaga we vipi? kumjua mzee Bamaga imekuwa tabu! kwi kwi kwi

Bamaga ni mtu, ni jengo, ni mtaa pia ni barabara, hyo barabara ya kuanzia golden tree,kwa pfunk mpaka mwenge kituo inaitwa bamaga road, bamaga ipo mwenge, imepakana na kijitonyama kama kitongoji, na mikocheni lakin tofaut ni kwamba mwenge sio kata imeingia kwny kata ya knyama,
 
Unajua mkuu mi nimesoma mapambano, enzi hizo tulikuwa tunajua na tunaandika mapambano ipo knyama na nimesoma nursery pale Africa sana (ushirika) mwenge. .....siku hizi maeneo yote hayo yanasemwa yapo sinza....hapo huwa nachoka

Yaani ndio hivyo mkuu, wageni wameharibu majina kabisaaaaa hadi wenyeji tunaonekana wageni.
 
Back
Top Bottom