Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

Acha uongo na fitina wewe, Missana amekuja Marekani December 2005 na muda wake unaisha December 2011, Huo mwaka 2002 Missana alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam,

Wewe ndiye uache uongo ndugu kwa kuzungumza kitu usichokijua kwa sababu za kiushabiki tu.
 
Wewe ndiye uache uongo ndugu kwa kuzungumza kitu usichokijua kwa sababu za kiushabiki tu.

Sina tabia ya kuchangia kitu nisichokijua. Nenda UDSM utapata uhakika Missana alimaliza shahada yake ya sheria lini, alfu ulinganishe na huo muda unaomzushia alikuwa Marekani. Acha wivu na roho mbaya wewe.
 
List yenyewe ndio hii, lakini sijaona bado "watoto wa vigogo"....au labda mimi ndio sifahamu mahusiano ya hawa watu na vigogo wetu. Tupe mahusiano yao basi......



mmaajar2.png

H.E. Mwanaidi Sinare Maajar
Ambassador/ Chief of Mission
Biography
munanka2.png

Ms. Lily Munanka
Minister Plenipotentiary,
Deputy Chief of Mission
and Head of Chancery.
mwafongo1.png

Mr. Paul Mwafongo
Minister Plenipotentiary,
Economics and Trade Affairs.
blankman1.gif

Col. Emmanuel Maganga
Military, Naval, and Air-force Attache.
saleh2.png

Mr. Suleiman Saleh
Second Secretary, Political affairs, Information and Tourism.

mkama2.png

Dr. Switbert Z. Mkama
Counselor, Public Affairs and Education.
missana2.png

Mr. Abbas Abeid Missana
Minister Plenipontentiary, Consular Affairs
masanja1.png

Mr. Edward Masanja
Financial Attache.

blankman1.gif

Ms. Catherine kijuu
Administrative Assistant.

blankman1.gif

Ms. Asia Dachi
Counselor, Administration.



Sasa lile jumba la gholofa 6 tunalolisikia kila mmoja wao anafloor yake ama!! Maana naona wako wachahce kwelikweli!!
 
hizo allowance ni kiasi gani? mbona jamaa wanapigika sana tu kwani huwa wanakosa hata mishahara.
balozi nyingine huwa zinakatiwa hata simu kwa kukosa pesa. huyo rafikiyo hajakuambia haya pia?

NgumiJiwe ninavyofahamu mshahara ni mdogo lakini marupurupu/allowances, under the carpet money ndio nyingi. Wanavisafari vya hapa na pale kila wakati na hakuwa anaye-account hela iliyotumika. Hii ni facts as I have a friend who work in one of these offices.
 
wewe unadhani ubalozi wote kazi zao zinafanana? wengine kazi zao zinawahitaji wawe huko muda mrefu.
uliza uelezwe sio unanyoshea watu vidole tu.[

QUOTE=Uncle Rukus;2770335]Wizara ya mambo ya nje ina utaratibu wake wa kubadilisha maafisa wa ubalozini kila baada ya miaka 4 au 5... Cha kushangaza ni kwamba kuwa watu wanapelekwa kwenye baadhi ya balozi zetu nchi mbali mbali cha kushangaza wengine wanarudishwa nyumbani pasipo kumaliza miaka yao waliopaswa kukaa huko.. Na wengine wanakaa zaidi ya miaka 10 kinyume na utaratibu wa wizara ya mambo ya nje kwa mfano
missana2.png

Mr. Abbas Abeid Missana
Minister Plenipontentiary, Consular Affairs

Bw.Abbas Abeid Missana toka amekwenda New York mwaka 2002 hadi leo hajarudi..[/QUOTE]
 
Eeh, Edward yuko huko? Huyu jamaa nilikuwa naye utotoni Kasulu, Kigoma, na mdogo wake Alphonce. Baba yake alikuwa Mkuu wa Wilaya pale. Siku nyingi sana!

masanja1.png
 
  • J4MAYOKA acha uvivu wa kufikiri. Mbona hiyo mada niliirusha mimi na ikawa hit? Umekuwa kama Washawasha asiye na akili aliyekopi avatar yangu hadi nikalazimika kuibadili. Acheni upuuzi wa kudandia mada za wenzenu kwa kutafuta umaarufu mwanahizaya we uso na aibu wala adabu. Nadhani kwa dozi hii utatia akilini.
 
nahisi mleta hoja ana kitu anakifahamu. may be list aliyonayo ni ya maofisa wa kawaida wasio na vyeo vikubwa.
 
eeh bwanae!kwenye hii thread kuna post za mzee wa @NY ziko wapi?au macho yangu yamekufa?ngoja ntafute carrot afu niperuz tena.
 
eeh bwanae!kwenye hii thread kuna post za mzee wa @NY ziko wapi?au macho yangu yamekufa?ngoja ntafute carrot afu niperuz tena.

Mods nishaelewa mchezo ulivyoenda,
Kumbe kuna thread mbili tofauti,
Ziungeni basi tupate mtiririko unaoeleweka!!!
 
acha jelous wewe hata babaako angewahi angekupa dili hyo'wacha wafanya kama wanavigezo wote c watanzania banaaa nyie vipi?
 
Mustafa+Hassanali+with+Tanzanian+ambassador+to+Sweden+HE+mohamed+Mzale+with+embassy+official+Jacob+Msekwa+and+Yusuf+Mdolwa+with+Hamis+Omary.JPG


Mustafa Hassanali with Tanzanian ambassador to Sweden HE mohamed Mzale with embassy official Jacob Msekwa and Yusuf Mdolwa with Hamis Omary
 
SIAMINI KUWA HATA SIKU MOJA STAFF WA KAWAIDA ANAWEZA KUALIKA MAWAZIRI WAWILI KUMUAGA ANAPOKWENDA KUFANYA KAZI KWENYE KITUO KIPYA

HIVYO HUYU MINDI NAYE NI MTOTO WA KIGOGO?

matukio-michuzi

55.jpg



1.jpg




labda mwenye kujua zaidi atujuze lakini huyu mindi mimi si mjui ni nani mpaka mawaziri wawili waende kumwaga?
 
SIAMINI KUWA HATA SIKU MOJA STAFF WA KAWAIDA ANAWEZA KUALIKA MAWAZIRI WAWILI KUMUAGA ANAPOKWENDA KUFANYA KAZI KWENYE KITUO KIPYA

HIVYO HUYU MINDI NAYE NI MTOTO WA KIGOGO?

matukio-michuzi

55.jpg



1.jpg




labda mwenye kujua zaidi atujuze lakini huyu mindi mimi si mjui ni nani mpaka mawaziri wawili waende kumwaga?
Huji watu wanaishi Kimjini mjini!
 
Back
Top Bottom