Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

Wizara ya mambo ya nje ina utaratibu wake wa kubadilisha maafisa wa ubalozini kila baada ya miaka 4 au 5... Cha kushangaza ni kwamba kuwa watu wanapelekwa kwenye baadhi ya balozi zetu nchi mbali mbali cha kushangaza wengine wanarudishwa nyumbani pasipo kumaliza miaka yao waliopaswa kukaa huko.. Na wengine wanakaa zaidi ya miaka 10 kinyume na utaratibu wa wizara ya mambo ya nje kwa mfano
missana2.png

Mr. Abbas Abeid Missana
Minister Plenipontentiary, Consular Affairs

Bw.Abbas Abeid Missana toka amekwenda New York mwaka 2002 hadi leo hajarudi..
 
kwani lazima mtu arudi?
 
hivi hao 'the accused' huko kwenye balozi zetu wana mishahara minono kiasi gani au nao wanapigika tu na maisha?
 
Mindi Kasiga- (mtoto wa mdogo wa Anna Mkapa)- yeye ni Afisa Uhusiano wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa
Joseph Sokoine- Foreign affairs Canada
Chipeta (relative wa Judge Chipeta)
Mkwe wa Malecela (NY foreign office) etc
Kuna yule ndugu wa Fatma Saidi Ally sijui yuko ofisi gani kwasasa alikuwaga DC I believe.
Note: Sifahamu kama walichaguliwa kwa upendeleo or not. Lakini nimeona watu wameweka maafisa wa DC pekee wakati tunazungumzia foreign affairs nzima including balozi zingine ikiwepo UK, France, Canada na nchi nyingine za Africa.
 
NgumiJiwe ninavyofahamu mshahara ni mdogo lakini marupurupu/allowances, under the carpet money ndio nyingi. Wanavisafari vya hapa na pale kila wakati na hakuwa anaye-account hela iliyotumika. Hii ni facts as I have a friend who work in one of these offices.
 
Wizara ya mambo ya nje ina utaratibu wake wa kubadilisha maafisa wa ubalozini kila baada ya miaka 4 au 5... Cha kushangaza ni kwamba kuwa watu wanapelekwa kwenye baadhi ya balozi zetu nchi mbali mbali cha kushangaza wengine wanarudishwa nyumbani pasipo kumaliza miaka yao waliopaswa kukaa huko.. Na wengine wanakaa zaidi ya miaka 10 kinyume na utaratibu wa wizara ya mambo ya nje kwa mfano
missana2.png

Mr. Abbas Abeid Missana
Minister Plenipontentiary, Consular Affairs

Bw.Abbas Abeid Missana toka amekwenda New York mwaka 2002 hadi leo hajarudi..

ulitaka arudi aende shangazi yako??
 
Mindi Kasiga- (mtoto wa mdogo wa Anna Mkapa)- yeye ni Afisa Uhusiano wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa
Joseph Sokoine- Foreign affairs Canada
Chipeta (relative wa Judge Chipeta)
Mkwe wa Malecela (NY foreign office) etc
Kuna yule ndugu wa Fatma Saidi Ally sijui yuko ofisi gani kwasasa alikuwaga DC I believe.
Note: Sifahamu kama walichaguliwa kwa upendeleo or not. Lakini nimeona watu wameweka maafisa wa DC pekee wakati tunazungumzia foreign affairs nzima including balozi zingine ikiwepo UK, France, Canada na nchi nyingine za Africa.

ndugu zanguni mkitoa majina tusiwaite wambeya wekeni na cv..swala si wako huko..m ni mtoto wa mkulima lakini naamini kwa kutokuwa kwenye systema inakuwaa ngumu kuwepo huko ubalozini na kuishia kutembelea nchi hizo kama mkimbizi..so swala ni wazazi wenu ama wetu waliokuwa nje ya system matokeo yake tunateseka leo hii..ukisoma wakina malecela sio wameamka tu kwa ajili ya john.s .malecela kuna nyuma ukoo ulikuwa kwenye sytem so we endelea kuomba labda chadema wakiingia madarkani utakuwapo na wewe kumbuka usiwe mbaili wengi wa wazazi wao hao walijitoa kwa chama cha mapinduzi leo wanakula mema ya nchi,,
 
sasa huyu jamaa analeta habari harafu kimyaa! Ila kimya kingi kina mshindo mkuu! Ngoja tusubiri labda anakusanya data za nchi zingine.

unafikiri cameroon alikosea kututukana ....??
 
ndugu zanguni mkitoa majina tusiwaite wambeya wekeni na cv..swala si wako huko..m ni mtoto wa mkulima lakini naamini kwa kutokuwa kwenye systema inakuwaa ngumu kuwepo huko ubalozini na kuishia kutembelea nchi hizo kama mkimbizi..so swala ni wazazi wenu ama wetu waliokuwa nje ya system matokeo yake tunateseka leo hii..ukisoma wakina malecela sio wameamka tu kwa ajili ya john.s .malecela kuna nyuma ukoo ulikuwa kwenye sytem so we endelea kuomba labda chadema wakiingia madarkani utakuwapo na wewe kumbuka usiwe mbaili wengi wa wazazi wao hao walijitoa kwa chama cha mapinduzi leo wanakula mema ya nchi,,

mjomba unafanya makosa makubwa vyeo havitakiwi kupewa ETI KWA KUWA BABA AU BABU YAKO ALIKUWA FULANI bali inabidi vizingatie vigezo vifuatavyo ujuzi, uzoefu, elimu ya mtu na uchapakazi wake . Nchi inadidimia sababu kubwa ni watu kupewa wasivyostahili kwa maana ya kujuana na hata mtu huyo anapoaribu kazi inakuwa ngumu kumfukuza kwa sababu ya kuoneana aibu wakati huo huo nchi yetu inaanguka.
 
ulitaka arudi aende shangazi yako??

Najua ina kuuma kwa kumzungumzia mjomba wako uliyekuwa unasali nae kwenye ule msikiti nyuma Massana....
Mdogo wangu ametoka hapo ubalozini 2007 na mwakani mdogo we2 wa mwisho atakwenda huko...
Kwa bahati mbaya sana mashangazi zangu ni wazee sana na mwamechuma mno kwa sasa wanakula nchi tu awanashida ya kutumikishwa na hii serikali ya JK.
 
Wizara ya mambo ya nje ina utaratibu wake wa kubadilisha maafisa wa ubalozini kila baada ya miaka 4 au 5... Cha kushangaza ni kwamba kuwa watu wanapelekwa kwenye baadhi ya balozi zetu nchi mbali mbali cha kushangaza wengine wanarudishwa nyumbani pasipo kumaliza miaka yao waliopaswa kukaa huko.. Na wengine wanakaa zaidi ya miaka 10 kinyume na utaratibu wa wizara ya mambo ya nje kwa mfano
missana2.png

Mr. Abbas Abeid Missana
Minister Plenipontentiary, Consular Affairs

Bw.Abbas Abeid Missana toka amekwenda New York mwaka 2002 hadi leo hajarudi..

Acha uongo na fitina wewe, Missana amekuja Marekani December 2005 na muda wake unaisha December 2011, Huo mwaka 2002 Missana alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam,
 
No research no right to speak! Tupatie list tuone kwa macho yetu.. Enzi za majungu zilishapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom