Balozi wa USA utaongea lini? Dada yetu ameuliwa Kinyama LA

Sote tumo including wewe unless uniambie wewe umevumbua kitu cha maana sana

Do I need kuvumbua kitu cha maana sana............ili nione mawazo mgando.........c'mon dude.............system zetu zinaboa......utafikiri watu hawajui/wamekwama kufikiri...............
 
Do I need kuvumbua kitu cha maana sana............ili nione mawazo mgando.........c'mon dude.............system zetu zinaboa......utafikiri watu hawajui/wamekwama kufikiri...............

Baada ya Raj Patel kuvumbua banana peel biscuits hakuna tena cha wewe kuvumbua
 
Nyani,
I like your new Avatar. Samba boys forever!

That's what's up! Sikujua...kumbe na wewe uko upande mmoja na mimi this time? Lol.....we are always on opposite sides....sports can make strange bedfellows
 
nyie subirini moto wa Chile ndio mtajua what soccer is all about...............this time around (in soccer) im against Samba baada ya goli la kusaidiwa na mkono la Fabiano na Kaka kumpiga mtu ki-pepsi......damn!

Back to mada............pengine hatujui tu hatua za balozi yetu ilizochukua hadi sasa.............tuvute subira.........
 
Watanzania wanasafiri kutoka vijijini mwisho wa nchi wanakwenda Dar kushughulikia uhamiaji, na nyinyi wa nje tumewasogezea huduma hiyo DC, nyinyi sio privileged group, fuateni taratibu za kila Mtanzania.

Na hao ma licensed lawyers wa Marekani sisi Tanzania hatuwatambui, sisi ni sovereign state.

Sawa, tumekuwa tunafuata upuuzi huo kwa sababu sisi ni watanzania itabidi tukubaliane na upuuzi wetu wa kitanzani kwa sababu sote tumo.

Nyani Ngabu anajua zaidi.
 
Sawa, tumekuwa tunafuata upuuzi huo kwa sababu sisi ni watanzania itabidi tukubaliane na upuuzi wetu wa kitanzani kwa sababu sote tumo.

Nyani Ngabu anajua zaidi.

Yeah! kwa kuwa sisi ni Watanzania basi kama watu wanaweza kusafiri toka vijijini Tanzania kwenda Dar na sisi ni lazima tusafiri toka vijijini popote pale tulipo ili kuifuata huduma pale tuliposogezewa. Siye Watanzania bwana hata tukiwa nchi za watu lazima tufanye kama tuko bongo na tusahau kabisa mambo ya technology! SMDH!
 
Sawa, tumekuwa tunafuata upuuzi huo kwa sababu sisi ni watanzania itabidi tukubaliane na upuuzi wetu wa kitanzani kwa sababu sote tumo.

Nyani Ngabu anajua zaidi.

..............na eti mpaka tuvumbue kitu muhimu sana............halafu ndio............tuwe na mawazo mbadala...........au wanataka mpaka aje mzungu atuambie kuwa suala fulani laweza kufanyika kirahisi namna fulani na kuokoa pesa za Watanzania wako.....(pesa ambazo zingeweza kutumwa Tanzania kusaidia ndugu jamaa na marafiki).........ndio tukubali..........kwa kuwa wazungu wamevumbua vitu muhimu sana...........dah argument zingine aisee...............eti hatutambui.......hatutambui my..............
 
Back
Top Bottom