Balozi Seif Iddi: Umwinyi au Uswahili?

Dec 27, 2011
11
1
Huyu jamaa hivi shughuli zake hasa ni nini?

tazama ufisini kwake.

Makubazi na staff wanakaa chini utafkiri wako madrassa

au ndio kalcha za ofisi huko Unguja?

975.JPG
 
Kwani yeye mwenyewe huyu anapunga mapepo? Mkao uliopo hapo ni kama kwa masangoma wa kinaijeria, wageni kwenye viti lkn 'babaa' mwenyewe anakaa kwenye mkeka karibu na tunguli zake
 
Kwani yeye mwenyewe huyu anapunga mapepo? Mkao uliopo hapo ni kama kwa masangoma wa kinaijeria, wageni kwenye viti lkn 'babaa' mwenyewe anakaa kwenye mkeka karibu na tunguli zake

Huyu ndie yule yule Mpemba kwako wewe ni X#&^*) kama ulivyosema kule ulikokimbia, hivyo hana jema kwako.
 
Hapo si ofisini ni nyumbani.
Nakubaliana na wewe hapo ni nyumbani, mazingira yanaonyesha mzee alikuwa ame pumzika, pia amewapa kinywaji bila bilauri halafu alikuwa amechoka na kazi nzito za kusukuma kurudumu( angalia mkono wake)
 
Ninapenda hivyo ... tuliishi Egypt wakati wa Utoto wetu tuliporudi Bongo -- Sebule yetu pia ilikuwa na Mkeka na Mito ya kukalia chini

Ilikuwa ni vizuri haswa... another tradition... so kuiga sio kubaya...

* Hata kama ni ofisini kama pako kwa mpango kama hiyo picha kwangu mimi sioni vibaya --- it is a traditional

* Ameishi nje ya Nchi Muda Mrefu na sasa anaona ni bora kuweka Ustaarabu wake sebuleni.... BRAVO!!!
 
huyu jamaa mbona siku za hivi karibuni watu wamesmhika sana kuleta uzi kuh yeye? na wala sioni cha msingi ambacho cha kumjadili, au kuna mtu ana bifu nae na kutumia hii jf kutoa dukuduku lake? kama hana hatia jamani naona aachiwe tu ili tujadili vitu vya maana zaidi.
 
Ninapenda hivyo ... tuliishi Egypt wakati wa Utoto wetu tuliporudi Bongo -- Sebule yetu pia ilikuwa na Mkeka na Mito ya kukalia chini

Ilikuwa ni vizuri haswa... another tradition... so kuiga sio kubaya...

* Hata kama ni ofisini kama pako kwa mpango kama hiyo picha kwangu mimi sioni vibaya --- it is a traditional

* Ameishi nje ya Nchi Muda Mrefu na sasa anaona ni bora kuweka Ustaarabu wake sebuleni.... BRAVO!!!

Kumbe!
 
Back
Top Bottom