kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 235
Wana wa houston walihuzunishwa kupitiwa na balozi sefue baada ya kikao chake na eti wawekezaji ktk jiji la houston.
kitendo cha sefue kutotoa au kueleza ugeni mzima uliofika Houston ukitafuta wawekezaji kimeonekana kama ni usanii mkubwa. kwani wako watanzania wengi walikuwa na haja ya kuonana na wakurugenzi wanaoshughulikia maswala ya uwekezaji na kujua taratibu. hawa wakurugenzi wametumia fedha za walipa kodi kuja kutafuta mianya ya wawekzaji halafu wanawakimbia watanzania ambao ama wana info za mabepari wenye fedha au tayari nao wamepewa nguvu na makampuni wanayofanyia kazi kutafuta sehemu za kwenda kujipanua.
Mambo haya ya kificho ndio yaliyozaa Richmond, kwani wangeweka wazi wangepewa CV ya kila kampuni jijini Houston.
Sefue alichokifanya ni kusema watanzania tunaoishi marekani hatuwezi fikiri tupo kama wale wa nyumbani tunapenda tu habari za magazeti, Sefue aliendelea kusema eti kama kuna mtu anaona kuna ufisadi aende mahakamani, na alitumia sana mfano wa Daniel Yona ambaye alidai hawezi kuhojiwa labda mahakamani. Sefue alimtetea mkapa kuwa sio mwizi wala fisadi.
Nilishindwa kuelewa kuwa huyu ni mtumishi wa serikali au la.