William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
Mkuu FMEs or Anyone out there,
Hebu tuhabarisheni juu ya wasifu wa Balozi Radhia Msuya kama unafahamika.
- Nimjuavyo kwa kifupi ni msomi wa Mlimani ni mchapa kazi sana, huko nyuma amefanya makosa mengi sana, lakini toka alipopelekwa London alijirekebisha na kuanza ku-behave kama inavyotakiwa, binafsi ninampa kudos kwa the transfomation,
- In life, kila bin-adam ana deserve a second chance in this case it worked perfectly, ninamtakia safari njema na kazi njema sana ya kulijenga taifa letu.
Respect.
FMEs!