Balozi Ombeni Sefue kumrithi Luhanjo

Status
Not open for further replies.
Na Rupia pia alikuwa invisible????. haina ukweli hii. Sefue anaweza kuchukua

Yawezekana kabisa hakuna aliyepinga kuwa hawezi, ila kuwa invisible lazima uwe ndio pia uwe CS, kumbuka kuwa CS ndiye anayepokea taarifa zote za hiyo taasisi!!
 
..naona watanzania tuna exaggerate sana hii dhana ya "usalama wa taifa."

..tunapotosha dhana nzima ya kuwa mtumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama wa taifa, na mhusika kuwa na access na taarifa nyeti ktk nafasi yake ya utumishi.
 
..hii itakuwa ni ajabu kidogo ukizingatia kwamba Balozi Sefue hajapata kuwa Katibu Mkuu wa wizara yoyote ile.

..Makatibu wakuu viongozi wengi waliomtangulia waliteuliwa kutoka ktk safu ya Makatibu Wakuu.

..pia nafasi hiyo haijapata kushikwa na mwanamke tangu tupate uhuru. Je, hakuna kina mama wanao-qualify hapo?

..hakuna Mzanzibari amewahi kuteuliwa Katibu Mkuu kiongozi.

..pia sikumbuki kama kuna Muislamu amewahi kushika wadhifa huo.

NB:

..according to mwana JF Kilasara,Makatibu wakuu viongozi tangu tupate uhuru ni hawa hapa: Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, Timothy Apiyo, Paul Rupia, Martens Lumbanga, na Philemon Luhanjo.

Mikoba ya Luhanjo inachukuliwa na Mama Blandina Nyoni aliyewahi kuwa Accountant General.
 
Zing CS ni mtu mkubwa sana. Ninachojua kwa kifupi ni kwamba yeye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri pia ni Mkuu wa Watumishi wote wa Umma. Ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote! Labda MMM atakuja na mengine

Kwenye red. Mkuu Chif Secretary sie Katibu wa Baraza la Mawaziri cheo hicho kinaitwa Karani wa Baraza la Mawaziri (Clerk to the Cabinet). Wa mwisho kumfahamu alikuwa somebody Mkwizu. Nafasi hiyo hata Pinda aliwahi shika 1996 mpaka alipopata Ubunge 2000. Kimsingi post hizi za CS na Karani BLM ni reserved (sijui kama ni sahihi) kwa watu wa system masenior waliokaa Ikulu mda mrefu.
 
Mkunga said:
Kwenye red. Mkuu Chif Secretary sie Katibu wa Baraza la Mawaziri cheo hicho kinaitwa Karani wa Baraza la Mawaziri (Clerk to the Cabinet). Wa mwisho kumfahamu alikuwa somebody Mkwizu. Nafasi hiyo hata Pinda aliwahi shika 1996 mpaka alipopata Ubunge 2000. Kimsingi post hizi za CS na Karani BLM ni reserved (sijui kama ni sahihi) kwa watu wa system masenior waliokaa Ikulu mda mrefu.

Mkunga,

..hebu tupe darsa kidogo kuhusu nafasi ya CS na majukumu yake ktk mikutano ya baraza la mawaziri.

..umenichanganya kidogo hapo kuhusu "Secretary to the Cabinet" na " Clerk to the Cabinet."

..halafu kuna chombo kinaitwa "Cabinet Secretariet" sijui chombo hicho kina majukumu gani ktk dhima nzima ya uendeshaji wa serikali.
 
Inasemekana huyu Ndio Mrithi wa Luhanjo katika Serikali legelege


OMBENI Y. SEFUE

sefue.jpg


OMBENI Y. SEFUE
Ambassador Ombeni Yohana SEFUE formally began his tour of duty as Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York on 31st August, 2010. Before that he was Tanzania's Ambassador to the United States of America in Washington D.C. from 15th June, 2007 to 14th August, 2010. Previously, Ambassador Sefue served as his country's High Commissioner (Ambassador) to Canada from October 2005 to June 2007.
A career diplomat, Ambassador Sefue also served as Counselor in the Embassy of Tanzania in Stockholm, Sweden, between 1987 and 1992.

Between 1993 and 2005, he worked as Speechwriter and Personal Assistant to two Presidents of Tanzania- President Ali Hassan Mwinyi (1993-1995) and President Benjamin William Mkapa (1995–2005).

Among other things, Ambassador Sefue assisted President Mkapa when he served on the Commission for Africa (The Blair Commission) that produced its report, Our Common Interest: Report of the Commission for Africa in March 2005, and participated with him at the G8 Summit session that discussed the report at Gleneagles in early July 2005.

He also worked with President Mkapa when the president served as Co-Chair of the ILO World Commission on the Social Dimension of Globalization between 2002 and 2004, participating in the preparation of the Commission's report, A Fair Globalization: Creating Opportunities For All, issued in February 2004.

Ambassador Sefue completed his undergraduate studies in Public Administration in 1977 at what is today Mzumbe University in Morogoro Tanzania. He earned an M.A. in Public Policy and Administration from the Institute of Social Studies (ISS) in The Hague, The Netherlands, (1981). He holds a Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy from the Tanzania-Mozambique Center for Foreign Relations in Dar es Salaam, Tanzania (1986).

Ambassador Sefue is married to Mrs. Anita M. Sefue and they have two children.
 

Attachments

  • Fisadi mpya.JPG
    Fisadi mpya.JPG
    16.1 KB · Views: 29
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom