Balozi Ngaiza Afariki dunia!

Sikubahatika kukutana na huyu mzee ila nadhani ni baba wa Soggy Dog na pacha wake Aniceth (sijui yuko wapi huyu aliyekuwa anajiita Gaza uwanjani).

Mungu awape amani yake nasi kama jamaa zenu wa karibu tuko pamoja na nyinyi katika kipindi hiki kigumu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!
I doubt kama huyu soggy doggy na pacha wake ni watoto wa marehemu-i just dont seem to recall
 
RIP MZEE WETU.
SAHIHISHO LA WATUHUMIWA WA KESI YA UHAINI:
Kiongozi wao alikuwa THOMAS LUGANGIRA a.k.a UNCLE TOM- RIP na sio Thomas Lugakingira.
 
Back
Top Bottom