Balozi mpya akutana na Rais Obama

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
New Kenya envoy meets President Obama

WH2.jpg


Kenya’s Ambassador to US, Mr Elkanah Odembo presents his credentials to US President Barack Obama. Mr Odembo replaces, Mr Peter Ogego.


wh1.jpg
 
aaaaaaahhhhhh

Jaruoooz in white house jamani mmmmmhhhhhh haya watu kutoka kogero
 
i am sure the texans aren't very happy to see this foto of luos in the white house
 
Wajaluo wamekutana aisee!

Siku hizi hatunywi maji Jaruo ndo ma presida wa dunia,angalia walivyoipendezesha white house kuwa black house,kwa tabia ya wajaruo jamaa sijui atarudi na kontena ngapi za mizigo kwani hata wakiwa Nairoo kama wanaenda likizo huko Nyanza hubeba mpaka sofa ,Tv ,Vinu na wakimaliza likizo hurudi tena na sofa zao,Jaruo si masihara(Wasomi wa ukweli),hata kijijini utamkuta Profesa anachunga Ng'ombe heh heh
 
Sio kwenye kiswahili.

Wewe mtanzania wa wapi ambaye hata lugha yako inakusumbua? Kama kiingereza kinavyokusumbua! Hakuna kitu kama undistributed loyalty wala forum in the whole, constitution..... name of (the) President etc etc. Devotion sio sawa na loyalty. Hii sio dini.

Go get a life, ndugu.

Amandla.......


Thanks bro, atleast you manage to put him in his place without abusing him. he's spoiling for a fight, son seems bored
 
Thanks bro, atleast you manage to put him in his place without abusing him. he's spoiling for a fight, son seems bored

Nawe Wacha kuleta vitu ambavyo havimo kwenye hii Thread kujiridhisha. Ukiona mambo yanakuwa makali mwombe Invisible akupatie teachers kutoka India.
 
Heheheheehe Dogo kauza kinoma, jangoo kapiga bao hapo , totoz za Kyuks zote ata zila kiulaini. Simchezo picha na Obama halafu Home is Bethesda hapo sasa , full mauzo !

hahaha na wish ningeeza boronja sheng za kibongo, sishiki radar mtu nguya.
 
Back
Top Bottom