Balozi Juma Mwapachu ateuliwa kuwa Mwenyekiti Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma

Da Kweli hapa nimeamini udom kuna udini, anatoka muislamu anaingia muislamu.
.................... hebu toeni ushauri wa mgao basi ! .................. na kule TRA nasie waswahili tupate basi, maana mnaturingishia maghorofa tuu !
 
Ukifuatilia makampuni yanayofanya faida sana hapa Tanzania yanongozwa na vijana. Hivi kwanini tusifike wakati viongozi waliostaafu wakabaki kama wastaafu na sisi tusonge mbele.
 
Da Kweli hapa nimeamini udom kuna udini, anatoka muislamu anaingia muislamu.

ufadhiri wa GADDAFI ulikuja na masharti na masharti yenyewe ndiyo hayo.ziba mdomo usiseme sana watasikia na watasema wanaonewa
 
Kama aliwahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Dar es Salaam pengine hicho ndicho cheo pekee katika orodha ya vyeo tunavyoambiwa kitakachomsaidia kuendesha Baraza za Chuo Kikuu Dodoma. Tufahamu kuwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Chuo ni tofauti kabisa na kuwa kiongozi wa kiutawala au kiutendaji sehemu nyingine yeyote. Lazima uwe na uelewa na uendeshaji wa chuo kikuu. Kazi yake kubwa ni kuongoza maamuzi ya kisera ya kuendesha chuo kikuu chake, hivyo, bila kuwa na mwanga wa kitaaluma huwezi na utaishia kuchekwa wakati wa vikao. Kazi yake ni tofauti sana na MKUU WA CHUO KIKUU (Chancellor) ambacho ni cheo cha heshima tu. Labda tujiulize kitu kimoja: Kwanini uongozi wa juu wa UDOM umejazwa na watu wa dini moja? Sitaki kuingiza hoja ya udini hapa bali uhalisia wa mambo unaoonekana waziwazi ndani ya uongozi wa juu wa chuo kikuu hiki. Tafakari, chukua hatua.

Analysis yako ni nzuri ila umechemsha hapo kwenye viongozi wa juu kuwa dini moja hiyo si kweli
Chancellor Ben Mkapa
Mwenyekiti wa baraza Mwapachu
Vice chancellor Idris Kikula
deputy VC academic Ludovic Kinabo
deputy VC administration Shabani Mlacha
soma link hii The University Of Dodoma
 
yaani anapotajwa kona la mwislam kwamba amepewa nafasi fulani makafiri wote roho juu. mnakimbilia ati udini.. lol poleni
 
Analysis yako ni nzuri ila umechemsha hapo kwenye viongozi wa juu kuwa dini moja hiyo si kweli
Chancellor Ben Mkapa
Mwenyekiti wa baraza Mwapachu
Vice chancellor Idris Kikula
deputy VC academic Ludovic Kinabo
deputy VC administration Shabani Mlacha
soma link hii The University Of Dodoma

hakutaka wala hakutarajia mwislam achukue hiyo nafasi .. bahati mbaya yeye ndiye mdini.
 
Akili mgando tuu!huyu mzee hana jipya kwanza kiasi kikubwa yeye ndugu yake ndiye aliyeua ATC akauza ndege zote akanunua mbovu!pia ktk ubunge wake tanga aliua ule mji kabisa.kwa ufupi huko ni kulindana ili aendelee kupata posho za vikao!
Aliwahi kuwa mbunge wa Tanga kama ndg yake Bakari Mwapachu?
 
Akili mgando tuu!huyu mzee hana jipya kwanza kiasi kikubwa yeye ndugu yake ndiye aliyeua ATC akauza ndege zote akanunua mbovu!pia ktk ubunge wake tanga aliua ule mji kabisa.kwa ufupi huko ni kulindana ili aendelee kupata posho za vikao!
Kweli wewe ni bongo lala kweli kweli, jamani huyu siye yule Mwapachu mbunge wa Tanga!!!!!! Je wewe utahukumiwa kwa kosa la kifo kwa kosa la nduguyo????????? Huyu Bwn ni Barozi Juma Volter Mwapachu, yule ni Halith Bakari Mwapachu. Huyo Bwn ni mchapa kazi haswa, check his profile. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni!!!!!!!!! Former Secretary General EAC!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom